Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 05 Novemba 2014 13:46

Muharram katika Kaunti ya Lamu - na Sheikh Abbas Ali wa Lamu Kenya

Muharram katika Kaunti ya Lamu - na Sheikh Abbas Ali wa Lamu Kenya

Kaunti ya Lamu kama yalivyo maeneo tofauti katika ulimwengu wa Kiislamu yanaupokea mwezi wa Muharram kwa hali tofauti. Waislamu wa Kishia wanaupokea mwezi huo kwa majonzi na maombolezo kutokana na kukumbuka alivyouawa kikatili mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW yaani Imam Husain AS na wafuasi wake katika jangwa la Karbala la Iraq ya leo.

Maombolezo ya Imam Husain na kumbukumbu za Muharram, Tasua na Ashura hufanyika kwa njia tofauti kama vile semina, makongamano kazi za kijamii kwa jina la Muharram na Imam Husain AS n.k.

Ifuatayo hapa chini sehemu ya pili ya mahojiano maalumu tulivyofanya na Sheikh Abbas Ali wa Lamu nchini Kenya kuzungumzia Muharram katika Kaunti ya Lamu.

 

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …