Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 05 Novemba 2014 13:40

Mawaidha ya Ashura na Sheikh Idrisa Ramadhani Kwezi wa Dar es Salaam Tanzania

Mawaidha ya Ashura na Sheikh Idrisa Ramadhani Kwezi wa Dar es Salaam Tanzania

Siku ya Ashura yaani tarehe 10 Muharram ni siku nzito sana kwa Ahlul Bayt AS. Ni siku ya majonzi makubwa kwa wapenzi wa nyumba tukufu ya Bwana Mtume Muhammad SAW.

Hapa chini tumekuwekeeni mawaidha maalumu ya Ashura yaliyotolewa na Sheikh Idrisa Ramadhani Kwezi wa Dar es Salaam Tanzania.

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …