Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 05 Novemba 2014 12:57

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Majid Nassor wa Qum, Iran

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Majid Nassor wa Qum, Iran

Mwezi mtukufu wa Muharram ni mwezi wa majonzi na maombolezo makubwa kwa wapenzi wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Muharram ni mwezi ambao maadui wa Bwana Mtume walimuua kwa kumchinja mjukuu wa mtukufu huyo, Imam Husain AS.

Hapa chini tumeweka mawaidha maalumu ya Ashura yanayoletwa kwenu na Sheikh Abdul Majid Nassor wa Qum nchini Iran

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …