Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 02 Novemba 2014 20:34

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Jafar Ammar, mada Tasu'a

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Jafar Ammar, mada Tasu'a

Mapambano ya Imam Husain AS na wafuasi wake watoharifu katika jangwa la Karbala, yataendelea kubakia hai, kizazi baada ya kizazi hadi Imam Mahdi AS atakapodhihiri na kuujaza ulimwengu haki na uadilifu.

Miongoni mwa siku muhimu mno katika maadhimisho ya mapambano ya Karbala ya Imam Husain AS ni Tasu'a na 'Ashura; siku ambazo wafuasi wa maktaba ya Ahlul Bayt AS kote ulimwengu wanaziadhimisha kwa hamasa ya hali ya juu sana.

Hapa chini tumekuandalieni mawaidha maalumu kuhusu Tasu'a ambayo yanaletwa kwenu na Sheikh Jafar Ammar wa Tanga Tanzania.  

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …