Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumamosi, 01 Novemba 2014 22:24

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdur-Razaq Amir Juma wa Arusha, Tanzania

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdur-Razaq Amir Juma wa Arusha, Tanzania

Tungali tumo katika masiku ya kumbukumbu ya Harakati ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Talib (as), harakati na mapambano ambayo yalipelekea kubakia hai dini ya Uislamu. Yafuatayo ni mawaidha yaliyotolewa na Sheikh Abdur-Razaq Amir Juma wa Arusha Tanzania, akizungumza ibra na mafunzo yanayopatikana katika tukio la Ashura.

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …