Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumamosi, 01 Novemba 2014 11:04

Nafasi ya wanawake katika mapambano ya Imam Husain AS

Nafasi ya wanawake katika mapambano ya Imam Husain AS

Matukio yanayojiri katika kila jamii yanaweza kuwa na athari nyingi tofauti katika mustakbali wa jamii hiyo. Kadiri utukufu na ukubwa wa matukio hayo unavyoongezeka ndivyo athari zake zinavyozidi kuenea hadi katika jamii nyinginezo. Mapambano ya Imam Husain AS huko Karbala lilikuwa ni tukio kubwa mno kiasi kwamba, si wakati na si mahala panapoweza kukhafifisha athari za matukio hayo. Watu mbalimbali walikuwa na mchango katika mapambano hayo, lakini mchango wa akinamama katika kuyabakisha hao mapambano hayo hadi leo hii ni mkubwa sana.
Hapa chini tumekuwekeeni kipindi maalumu cha mawaidha ya Muharram yanayotolewa na Sheikhat Nyembezi Mbano wa Dar es Salaam Tanzania mada ikiwa ni nafasi ya wanawake katika mapambano ya Karbala.

 

 

 

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …