Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumanne, 28 Oktoba 2014 18:50

Shairi la Muharram na Sheikh Abdul Majid Nassor

Shairi la Muharram na Sheikh Abdul Majid Nassor

Muharram inapowadia damu iliyokuwa imetuwama ndani ya mishipa huchemka tena, macho yaliyokauka hububujikwa na machozi na mvua ihuishayo mapenzi ya Kihusseini huzinyeshea tena na kuzihuisha nyoyo zilizokuwa kwenye usingizi wa mghafala. Muharram inapowadia huvunja kimya katika nchi, miji na vijiji na kuzipa uhai mpya nyoyo na roho za watu; msisimko wa Muharram unapojitokeza akili hupigwa na mshangao na zikabaki kujiuliza kwa mastaajabu: haya ni majonzi ya aina gani ambayo yangali kama kidonda kibichi licha ya kupita karne zote hizi? Na je maombolezo haya yana taathira gani kwa watu hawa na nini hasa falsafa ya maombolezo ya Imam Hussein (AS)?

Ingia hapa chini kusikiliza shairi la maombolezo ya Imam Husain AS kama linavyosomwa na Sheikh Abdul Mujid wa Qum, nchiini Iran...

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …