Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumamosi, 25 Oktoba 2014 11:32

Lengo la Harakati ya Imam Hussein (AS) + Sauti

Lengo la Harakati ya Imam Hussein (AS) + Sauti

Maadhimisho ya mapambano ya Imam Husain AS katika miezi ya Mfunguo Nne na Mfunguo Tano yaani Muharram na Safar na kufikia kileleni maadhimisho hayo katika siku za 'Ashura na Arubaini ya Husaini, kumepelekea malengo matukufu ya mapambano ya Imam Husaini AS huko Karbala yabakie hai milele katika historia, huku mawimbi yaliyojaa nuru ya mapinduzi yake hayo matukufu yakiifunika ardhi zama zote na kumfanya Husain bin Ali AS kama babu yake Mtume Muhammad SAW, kuwa siraji na taa inayoangaza njia na merikebu ya wokovu wa wanadamu wote.

Hivi sasa tumeingia kwenye maadhimisho mengine ya mapambano ya mtukufu huyo. Tunamuomba Allah asitukoseshe baraka na matukufu ya siku hizi adhimu na atujaalie kuwa miongoni mwa wafuasi wa kweli wa Mtume Muhammad SAW na Ahlul Bayt wake watoharifu.

Hapa tumekuandalieni mawaidha maalumu ya Muharram kutoka kwa Ustadh Abdul-Latif Issa Saleh wa Dar es Salaam Tanzania, mada ikiwa ni "Lengo la Harakati ya Imam Hussein (AS)."

Ingia hapa chini kusikiliza mawaidha hayo:

Sauti na Video

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …