Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Muharram
Maombolezo ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein bin Ali AS yanaendelea katika maeneo mbalimbali. Mwaka huu mwezi wa Muharram na maadhimisho ya mapambano ya Imam Hussein (AS) yameanza katika …
Jumamosi, 17 Oktoba 2015 14:14

Mawaidha ya Muharram 1437 Hijria

Mawaidha ya Muharram na Sheikh Ali Ammar Mwazoa wa Tanga, Tanzania. Ingia hapa chini kusikiliza mawaidha hayo. Unaweza pia kupakua (download) na kwa ajili ya kuyasikiliza nje ya Intaneti.
Mawaidha ya Muharram na Sheikh Ali Ammar Mwazoa wa Tanga, Tanzania. Ingia hapa chini kusikiliza mawaidha hayo. Unaweza pia kupakua (download) na kwa ajili ya kuyasikiliza nje ya Intaneti.
Jumamosi, 17 Oktoba 2015 13:52

Msafara wa Nuru

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Kwa kuwadia mwezi wa Muharram, kumbukumbu ya hamasa inayobakia milele ya Karbala hujirudia tena akilini. Kila mtu, na kwa njia tofauti hujenga mawasiliano maalumu na Hussein …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Kwa mara nyengine tena mwezi wa Muharram umewadia. Mwezi ambao unahuisha na kurejesha akilini kumbukumbu ya mapambano adhimu na yenye adhama. Muharram ni mwezi uliofungamana na …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii fupi ambayo inawadieni kwa mnasaba wa siku hizi kumi za mwanzo za Mwezi Mtukufu wa Muharram ambapo Waislamu na wapenda haki kote …
Mamillioni ya Waislamu kote duniani kila mwaka wanashiriki katika maombolezo ya Muharram, ambayo hufanyika kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Husain AS pamoja na …
Kaunti ya Lamu kama yalivyo maeneo tofauti katika ulimwengu wa Kiislamu yanaupokea mwezi wa Muharram kwa hali tofauti. Waislamu wa Kishia wanaupokea mwezi huo kwa majonzi na maombolezo kutokana na …
Siku ya Ashura yaani tarehe 10 Muharram ni siku nzito sana kwa Ahlul Bayt AS. Ni siku ya majonzi makubwa kwa wapenzi wa nyumba tukufu ya Bwana Mtume Muhammad SAW. …
Mwezi mtukufu wa Muharram ni mwezi wa majonzi na maombolezo makubwa kwa wapenzi wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Muharram ni mwezi ambao maadui wa Bwana Mtume walimuua …
Mapambano ya Imam Husain AS na wafuasi wake watoharifu katika jangwa la Karbala, yataendelea kubakia hai, kizazi baada ya kizazi hadi Imam Mahdi AS atakapodhihiri na kuujaza ulimwengu haki na …
Tungali tumo katika masiku ya kumbukumbu ya Harakati ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Talib (as), harakati na mapambano ambayo yalipelekea kubakia hai dini ya Uislamu. Yafuatayo ni mawaidha …
Matukio yanayojiri katika kila jamii yanaweza kuwa na athari nyingi tofauti katika mustakbali wa jamii hiyo. Kadiri utukufu na ukubwa wa matukio hayo unavyoongezeka ndivyo athari zake zinavyozidi kuenea hadi …
Jumamosi, 01 Novemba 2014 10:46

Hussein bin Ali (AS), Bwana wa Mashahidi

Tumo katika siku za mwezi wa Muharram ambao unakumbusha msiba adhimu na mkubwa kwa umma wa Kiislamu. Mwezi ambamo ndani yake mjukuu kipenzi wa Mtume wetu Muhammad SAW Imam Hussein …
Alkhamisi, 30 Oktoba 2014 11:17

Kipindi maalumu cha mahojiano ya Muharram

Bismillahir Rahmanir Rahim. Maadhimisho ya Muharram na mapambano ya Imam Husain AS yamekuwa yakiongeza nuru yake katika maeneo tofauti duniani, siku baada ya siku. Hayo yalikuwa ni mapambano ambayo damu …
Muharram inapowadia damu iliyokuwa imetuwama ndani ya mishipa huchemka tena, macho yaliyokauka hububujikwa na machozi na mvua ihuishayo mapenzi ya Kihusseini huzinyeshea tena na kuzihuisha nyoyo zilizokuwa kwenye usingizi wa …
Assalaamu Alaykum Warahamatullahi Wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuanza mwezi wa Muharram na ambacho kitazungumzia falsafa na sababu za kufanyika majlisi za maombolezo …
Maadhimisho ya mapambano ya Imam Husain AS katika miezi ya Mfunguo Nne na Mfunguo Tano yaani Muharram na Safar na kufikia kileleni maadhimisho hayo katika siku za 'Ashura na Arubaini …
Assalama Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika mfululizi wa makala hizi zinazokukieji katika siku hizi za maombolezo ya kuuawa mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji warahmatullahi wabarakatuh. Karibuni kusikiliza sehemu hii ya 4 ya mfululizo wa kipindi hiki maalumu cha Muharram, kinachokujieni chini ya anuani ya "Pamoja na Imam Hussein (AS) …
Page 1 of 3

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …