Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Mtume Muhammad
Jumapili, 23 Disemba 2012 22:18

Nabii wa Rehma 1 + Sauti

Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji. Kwa furaha na moyo mkunjufu nakukaribisheni kuwa nami katika kipindi hiki kipya ambacho kitadondoa baadhi tu kati ya …
Jumapili, 22 Julai 2012 19:27

Kubaathiwa Mtume SAW

Tarehe 27 Rajab 'Mwaka wa 40 wa Ndovu au 'Aamul Fiyl', Mohammad SAW alikuwa ameenda katika milima ya kaskazini mwa Makka kunong'ona na Mola wake. Alikuwa anapitisha mwaka wa arobaini …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja ambacho ni kipindi cha kati ya tarehe 12 na 17 za Mfunguo …
Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Maulidi ya Mtume wetu Muhammad SAW, mbora wa viumbe …
Jumatatu, 22 Februari 2010 17:02

Mtume Muhammad SAW Nuru ya Uongofu (1)

Mtume Muhammad (SAW) alizaliwa katika mji mtakatifu wa Makka katika Mwaka wa Tembo. Mwaka huo ulijulikana kwa jina la Mwaka wa Tembo kutokana na kisa kilichotokea ndani yake. Qur'ani Tukufu …
Malalamiko ya wanafikra, wanachuo, wasanii na wasomi wa ulimwengu wa Kiislamu kwa Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuenezwa dharau na chuki dhidi ya Mtume Muhammad (SAW) na thamani za Kiislamu.Waheshimiwa.....Sisi …
Page 2 of 2

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …