Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Minasaba
Jumapili, 03 Novemba 2013 19:33

Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari

Natumai hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari hapa nchini Iran. Ni matumaini yangu …
Jumatano, 23 Oktoba 2013 22:01

Ghadir, chemchemu inayotiririka daima

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimishio ya sikukuu ya Ghadir. Ghadir inaashiria tukio ambalo Bwana Mtume Muhammad SAW alimtangaza …
Jumanne, 15 Oktoba 2013 14:06

Idul Adh'ha 1434 Hijria

Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuwadia sikuu ya Idul Adh'ha. Inapowadia tarehe 10 ya mwezi wa Dhul Hijja Waislamu hujitokeza kwa …
Jumapili, 13 Oktoba 2013 21:50

Kuuawa shahidi Imam Muhammad Baqir AS

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Muhammad …
Jumapili, 06 Oktoba 2013 19:47

Kuuawa Shahidi Imam Muhammad Jawad AS

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyouawa shahidi Imam Muhammad Taqi al-Jawad (as), Imamu wa tisa katika mlolongo wa Maimamu …
Jumapili, 01 Septemba 2013 19:19

Kuuawa shahidi Imam Jaafar Sadiq AS

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Leo wapenzi wasikilizaji, Ulimwengu wa Kiislamu umo kwenye maombolezo ya kukumbuka siku aliyouawa shahidi shakhsia mmoja mkubwa. Ni shakhsia adhimu ambaye ujudi wake ulikuwa hazina kubwa …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji Warahmatullahi Wabarakatuh. Siku ya leo inasadifiana na siku aliyozaliwa mwokozi aliyeahidiwa, mtukufu Hujjatu Ibn al Hassan al Mahdi, Imamu wa Zama (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake). …
As-Salamu Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nami katika dakika hizi chache za kipindi kingine cha makala ya wiki, ambacho hii leo kitazungunmzia malengo ya kubaathiwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) …
        Assalaam Alaykum wasikilizaji wapenzi, karibuni kujiunga nami kwenye kipindi hiki maalumu ambacho kimetayarishwa kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kufariki dunia Imam Ruhullah Mussawi al Khomeini …
Jumanne, 21 Mei 2013 15:26

Kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Jawad AS

Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji ni wakati mwingine wa kuwa nanyi kukuleteeni kipindi hiki maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Muhammad Jawad AS, mmoja kati ya watu wa …
Assalamu Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali al Hadi ambaye …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokutayarishieni kwa mnasaba wa kuzaliwa Bibi Fatimatu az-Zahra binti wa mtukufu Mtume (saw). Huyu ni binti ambaye Mwenyezi Mungu alimtaja kuwa …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Louis Massignon mmoja wa wanafikra wa Kifaransa na mtaalamu wa masuala ya Mashariki amenukuliwa akisema: "Dua za Nabii Ibrahim AS zilitabiri kuja nuru …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ilipoasisiwa rasmi Jamhuri ya Kiislamu hapa nchini Iran. …
Jumatatu, 18 Machi 2013 16:55

Siku ya Kutaifishwa mafuta nchini Iran

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika dakika chache za kipindi hiki maalumu kitakachozungumzia tukio la kutaifishwa sekta ya mafuta nchini Iran kutoka kwa wakolini wa Kiingereza. Ni matumaini …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Bibi Zaynabul Kubra SA. Ni matumaini yetu mtakuwa …
Jumapili, 24 Februari 2013 16:40

Kwa mnasaba wa kufariki dunia Bibi Maasuma SA

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Fatima al Maasuma 'Aleyha Salam', mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu …
Assalamu Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Imam Hassan Askari (as), ambaye ni miongoni …
Leo mji mtakatifu wa Mashhad umetanda huzuni na majonzi katika haram ya Ali bin Musa Ridha AS. Idadi kubwa ya waombolezaji wamefika katika haram hiyo kwa ajili ya kuombleza. Leo …
Alkhamisi, 10 Januari 2013 11:45

Imam Hassan AS, Kigezo cha Ukarimu

Imam Hassan Mujtaba AS alikuwa mjukuu wa kwanza wa Mtume Muhammad SAW. Alikuwa mwana wa mwanamke mtakatifu, Bibi Fatima Zahra SA. Imam alikuwa dhihiriso la kivitendo la Qur’ani Tukufu na …
Page 5 of 7

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …