Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Minasaba
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika makala hii maalumu ambayo tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Abul Fadhlil Abbas, mwana wa Imam Ali AS …
Assalaam aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tunakukaribisheni kwenye kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa Imam Hussein …
Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nami katika dakika hizi chache za kipindi kingine maalumu ambacho hii leo kitazungumzia mantiki na mapambano dhidi ya hurafa, ambayo ni hidaya na …
Jumamosi, 24 Mei 2014 22:47

Kuuawa shahidi Imam Musa Kadhim AS

Mwongozo na malezi ya Mtume Mtukufu SAW na Ahlul Beit wake AS yalikuwa na nafasi muhimu katika kipindi chote cha historia ya Kiislamu. Kila mmoja wa watukufu hao alikuwa na …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Zaynabul Kubra SA, mwana wa Imam Ali AS …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tuko katika siku zilizo jaa baraka za Mwezi wa Rajab, mwezi adhimu ambao Mwenyezi Mungu amewapa waja wake ili wajikurubishe kwake kwa dua na maombi. Baadhi ya …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki maalumu kitakachozungumzia kwa ufupi shahada ya Imam Hadi AS mmoja wa wajukuu wa Mtume SAW, karibuni …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Baqir AS, mmoja wa Maimamu watukufu kutoka katika kizazi kitoharifu …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Bibi Fatimatuz Zahra AS binti mtukufu wa …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku alipokufa shahidi Bibi Fatimatuz Zahra SA binti kipenzi wa Bwana …
(Kwa mnasaba wa kuzaliwa Bibi Zainab - AS) Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine maalumu kuhusu mazazi ya Bibi Zainab binti ya Imam Ali (as). Leo …
Jumamosi, 18 Januari 2014 13:29

Kuzaliwa Mtume Muhammad SAW

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe Mtukufu Mtume Muhammad SAW. Tunatoa mkono wa kheri …
Jumamosi, 18 Januari 2014 12:51

Kuzaliwa Imam Sadiq AS

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalum kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Imam Jafar Sadiq AS, Imamu wa Sita katika mfululizo wa Maimamu 12 kutoka …
Kwa mara nyingine leo tunakumbuka tukio la kuuawa shahada mmoja wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) naye si mwingine isipokuwa ni Imam Hassan Askari (AS). …
Siku ya mwisho ya Mfunguo Tano Safar ndiyo siku aliyouawa shahidi Imam Ridha AS mmoja wa Maimamu watoharifu wa Waislamu wa Kishia. Leo tumekuandalieni makala hii maalumu kuzungumzia kwa ufupi …
Jumatatu, 30 Disemba 2013 16:47

Katika Msiba wa Mtume wa Rehma

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo wasikilizaji wetu wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuaga dunia Mtume wetu Muhammad (saw). …
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibu kuwa nami katika dakika hizi chache wa kuwaleteeni kipindi hiki maalumu kitakachoelezea kumbukumbu ya  kuuawa shahidi  Imam Hassan bin Ali bin Abi Talib AS …
Jumapili, 22 Disemba 2013 17:11

Arubaini ya Imam Husain (AS)

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wapenzi wasikilizaji tuko kwenye maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) na wafuasi wake. Tarehe 20 Mfunguo Tano, Safar mwaka 61 Hijria, zilikuwa zimepita siku 40 …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wasikiliza wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa Al Kadhim (as). Mwenyezi Mungu Mwenye …
Ijumaa, 15 Novemba 2013 18:46

Imam Sajjad AS aliwabainishia Waislamu haki

Assalam Alaykum,tuko katika siku ya kukumbuka tukio la kuuawa shahidi Ali bin Hussain AS aliyepewa lakabu ya Sajjad. Ni shakhsia mkubwa ambaye alikuwa Karbala wakati wa harakati ya Imam Hussein …
Page 4 of 7

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …