Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Minasaba
Jumatano, 24 Disemba 2014 15:58

Isa AS, Mtume Mkubwa wa Mwenyezi Mungu

Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu cha kuzungumzia kuzaliwa Nabii Isa AS.
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji ni wakati mwingine tena wa kuwaleteeni kipindi hii maalumu ambacho kwa leo kitazungumzia maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha (as) …
Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji. Tunatoa mkono wa pole kwa wapenzi na wafuasi wote wa Ahlul Beit wa Mtume Mtulkufu SAW kwa mnasaba huu mchungu wa kukumbuka kuuawa shahidi Imam wa …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyoaga dunia na kurejea kwa Mola wake, mbora wa viumbe Mtukufu Mtume Muhammad …
Jumamosi, 13 Disemba 2014 08:55

Arubaini ya Imam Hussein AS 1436 Hijria

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Takribani miaka 1375 iliyopita, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein bin …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika dakika hizi ambazo ndani yake tutazungumzia kuuawa shahidi Imam Ali bnil Husain Zaynul Abidin AS. Karibuni. ****** Mwezi 12 Mfunguo Nne …
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa miongoni mwa wenye kushikamana na Wilaya ya Ali bin Abi Talib na kizazi chake kitoharifu na maasumu; na mpaka pale …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki maalumu cha makala ya wiki ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Hadi (as). Nyoyo za waumini zimejawa …
      Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Historia ya Uislamu imepambika kwa kuweko shakhsia na watu watukufu ambao wamekuwa ni ruwaza na kigezo chema si katika zama zao tu, bali …
Jumamosi, 27 Septemba 2014 08:32

Wiki ya Kujihami Kutakatifu (3)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, nchi ya Iran ilikumbwa na njama nyinyi sana, lakini kati ya njama zote hizo, kulazimishwa kupigana vita vya miaka minane, …
Ijumaa, 26 Septemba 2014 17:03

Wiki ya kujihami kutakatifu (2)

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi kingine cha Makala ya Wiki ambacho kwa leo kitajadili sehemu ya pili ya  vita vya kulazimishwa vya …
Alkhamisi, 25 Septemba 2014 15:49

Wiki ya Kujihami Kutakatifu (1)

Wachambuzi wengi wa masuala ya kisiasa na kijeshi wamechambua na kuzungumzia kwa mapana na marefu sababu za kuanza vita vya kulazimishwa vya utawala wa dikteta Saddam Hussein wa Iraq dhidi …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni leo hii kwa mnasaba wa kukumbuka siku alipouawa shahidi Imam Jawad AS. Tumeona ni vyema katika dakika …
Jumatano, 24 Septemba 2014 18:08

Kijilinda na kijihami katika mtazamo wa Qur'ani

Hii leo hakuna tena haja ya kueleza na kubainisha maovu na maafa ya vita. Utendaji wa watawala madhalimu, madikteta na waovu katika dunia ya sasa na mandhari za kutisha za …
Alkhamisi, 21 Agosti 2014 22:57

Imam Swadiq (as) kigezo chema cha Waislamu

Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki maalumu ambacho leo kitazungumzia maisha ya Imam Jafar Swadiq (as). Siku ya leo inasadifiana na siku …
Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Imam Hassan bin Ali al-Mujtaba AS ambaye ni mjukuu wa kwanza wa mbora wa …
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki ambacho kinakujieni mwafaka na tarehe ya kuzaliwa Imam mtarajiwa Muhammad Mahdi (af), ambapo tutatupia jicho faida …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika makala hii maalumu inayohusiana na maadhimisho ya kuanza harakati za mwamko wa Kiislamu nchini Iran mwezi Juni 1963. ******* Kumbukumbu za kufariki dunia …
Tuko katika siku za kukumbuka kufariki dunia Imam Khomeini (MA) ambaye ni muanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Huyu ni shakhsia na mwanazuoni ambaye kuaga kwake dunia mnamo tarehe …
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika dakika hizi chache za kipindi hiki maalumu ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul …
Page 3 of 7

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …