Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Minasaba
Tarehe 11 Mfunguo Pili Dhilqaada ni maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Musa ar-Ridha (as), mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw). Huyu ni kiongozi ambaye kwa zaidi ya miaka …
Jumatano, 12 Agosti 2015 17:23

Katika Msiba wa Swadiqu Aali Muhammad (saw)

Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika makala hii maalimu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Jafar Swadiq (as) ambaye ni mmoja kati ya Maimamu watoharifu …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Mwezi 15 Ramadhani ni siku inayosadifiana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Hasan al Mujtaba, mjukuu mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW. …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Siku ya Alkhamisi ya tarehe 4 Juni inasadifiana na kumbukumbu za siku ya kufariki dunia Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu …
Jumatano, 03 Juni 2015 10:10

Uzawa wa Imam Mahdi (AF)

Tuko katika siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ambayo ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama Imam Mahadi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-af). Katika alfajiri ya siku …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuzaliwa Imam Hussein (as), mjuu wa Bwana Mtume Muhammad (saw), karibuni. Tarehe Tatu mwezi Sha'ban mwaka …
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika dakika hizi chache za kipindi hiki maalumu ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul …
Jumamosi, 23 Mei 2015 20:32

Abul Fadhl Abbas AS, shujaa muungwana

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum. Tuko katika siku ya kukumbuka kuzaliwa Hadhrat Abul Fadhl Abbas AS na tunawakaribisha kusikiliza makala hii maalumu ambayo tumekutayarishieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya …
Katika siku za kukaribia tarehe 27 Rajab Mohammad SAW alikuwa akienda katika pango la Hiraa na katika baadhi ya nyakati alikuwa akikaa siku kadhaa katikaeneo hilo. Alikuwa akimfahamisha mke wake  …
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibu kuwa nami katika kipindi hiki maalumu ambacho kwa leo kitazungumzia nafasi ya haki za binadamu katika utawala wa Amirul Muuminiin Ali AS, kwa mnasaba …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wapenzi wasikilizaji, katika usiku kama wa leo anga kimya na tulivu ya mji wa Madina iliajabia nuru iliyoangaza kwenye nyumba ya Imam Sajjad (AS); nuru ambayo …
Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kuzaliwa Bibi Fatwimat Zahraa (as) binti ya Mtukufu Mtume Muhammad (saw). Tarehe 20 ya mwezi Jamaduthani mwaka wa …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka kufa shahidi Bibi Fatma Zahra AS binti mtukufu wa Bwana …
Jumamosi, 21 Machi 2015 10:22

Siku ya Kutaifishwa mafuta nchini Iran

Tarehe 29 Isfand mwaka 1329 Hijria Shamsia sawia na Machi 20 1950 ni moja ya siku zenye kukumbukwa katika historia ya mapambano ya taifa la Iran na madola ya kibeberu. …
Jumatano, 04 Machi 2015 12:21

Sira na Maisha ya Bibi Fatima al Zahra AS

Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu kinachowajieni kwa mnasaba wa kukumbusha siku ya kufa shahidi Bibi Fatma al Zahra binti kipenzi wa Mtume wetu Muhammad …
Tarehe 5 Jamadil Awwal inasadifiana na siku aliyozaliwa Bibi Zainab, simba jike binti wa Simba wa Mwenyezi Mungu. Katika siku hiyo mwaka wa tano Hijria Mwenyezi Mungu SW alimtunuku Ali …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Mwaka 201 Hijria Qamaria katika siku kama hii ulimwengu wa Kiislamu ulikumbwa na huzuni na majonzi kutokana na kuaga dunia Bibi Fatima Maasuma SA.  Alikuwa ni mwanamke …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika makala hii ambayo tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam wa 11 kutoka kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam …
Tarehe 17 Rabiul-Awwal mwaka 83 Hijiria, sawa na mwaka 702 Miladia, ulimwengu ulipambika kwa uzazi mtakatifu. Katika siku hiyo inayosadifiana na kuzaliwa Mtukufu Mtume Muhammad (saw), alizaliwa pia Imam Swadiq …
Jumatano, 31 Disemba 2014 11:44

Kuanza Uimamu wa Nuru ya Uadilifu

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu ambacho ndani yake tutazungumzia siku alipochukua Uimamu, Imam wa Zama, Imam Mahdi AS.Hivi sasa tumo kwenye …
Page 2 of 7

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …