Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Minasaba
Jumatano, 02 Januari 2013 15:57

Arubaini, Kutangaza Tena Utiifu kwa Husain AS

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Arubaini ya Imam Husain AS. Ni matumaini yangu mtakuwa nami hadi …
Jumatatu, 24 Disemba 2012 14:59

Kuzaliwa Nabii Isa Masih AS

Assalaam Alaykum wasikilizaji wapenzi, ni wakati mwingine tena wa kuwa nanyi katika dakika hizi chache za kuwaleteeni kipindi hiki maalumu ambacho kinawajieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Nabii …
Jumatano, 28 Novemba 2012 12:05

Imam Sajjad AS na mbinu za mapambano

Assalaam Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu ambacho kinazungumzia kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Hussein AS, mashuhuri kwa lakabu ya Imam Sajjad AS mmoja kati …
Bismillahi Rahmanir Rahim Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuhu Matukio makubwa na yenye kuleta ghera katika historia ya dini au itikadi ni ishara ya uhalisi na ukweli wa dini hiyo na hivyo …
Jumatano, 31 Oktoba 2012 12:17

Kwa mnasaba wa kuzaliwa Imam Hadi AS

Bismillahir Rahmanir Rahim Ziyarat al-Jamiyat al-Kabirah, dhihirisho la fadhila za mwanadamu kamili Maalumu- Kuzaliwa Imam Ali Naqi al-Hadi (as) Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni …
Jumatano, 24 Oktoba 2012 12:44

Kuuawa Shahidi Imam Muhammad Jawad AS

Assalaam Alaykum wasikilizaji wapenzi, leo hii ni siku ya mwisho ya mwezi wa Dhul Qaad, inayosadifiana na siku ya kuuawa shahidi Imam Muhammad Taqi al Jawad Alayhi Salaam. Mtukufu huyo, …
Jumanne, 23 Oktoba 2012 17:26

Kuuawa shahidi Imam Muhammad Baqir AS

Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji ni wakati mwingine tena wa kuwa nanyi kuwaleteeni kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Muhammad Baqir AS, mmoja kati ya watu …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS. Ni …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Mahdi AS. Tunaianza makala hii fupi kwa …
Tarehe tatu Shaaban ni kumbukumbu ya kuzaliwa shakhsia mkubwa ambaye aliyapa maana kamili maneno ya umaridadi na mapenzi. Ana moyo maridadi, karama, maarifa ya kina na hatimaye yeye ni kielelezo …
Alkhamisi, 14 Juni 2012 12:13

Sira fupi ya Imam Kadhim AS

Ahlul Bayt wa Mtume SAW ni kati ya watu ambao walikuwa nguzo na walinawiri katika mrengo wa haki. Kama alivyosema Mtume SAW, katika Ummah wa Kiislamu Ahul Bayt ni kama …
Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji Warahmatullahi Wabarakaatuh.Ulikuwa mwaka wa thelathini tokea mwaka wa ndovu. Anga ya ardhi ya Makka katika usiku wa siku hiyo ilikuwa iking'ara kwa nyota zilizotandawaa mbinguni. Nuru …
Kila harakati na mapinduzi huwa na nukta ya kuanzia. Cheche asili ya Mapinduzi ya Kiislamu Iran ilikuwa miaka 15 kabla ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu mnamo Juni tatu mwaka …
Jumamosi, 02 Juni 2012 12:24

Kuzaliwa Imam Ali AS (2)

Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tumo katika maadhimisho ya kusherehekea uzawa uliojaa baraka wa mzaliwa wa al Kaaba Tukufu, bwana wa wampwekeshao Mwenyezi Mungu na ruwaza ya wachamungu, Imam …
Alkhamisi, 31 Mei 2012 11:55

Uzawa wa Imam Jawad AS

Siku ya Kumi ya Mwezi wa Rajab inasadifiana na uzawa mtakatifu. Mwaka 195 Hijria Qamaria katika siku kama hii Imam Mohammad Taqi AS ambaye ni mashuhuri kwa lakabu ya Jawad …
Alkhamisi, 10 Mei 2012 12:11

Uzawa wa Bibi Fatima Zahra SA

Nuru ya mwezi ilienea kote Makka, mji ulikuwa umetulia. Katika lahadha hiyo Mtume Muhammad SAW alikuwa akisubiri kwa hamu kutimia ahadi ya Mwenyezi Mungu. Mtume SAW na mke wake Khadija …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka kufa shahidi Bibi Fatma Zahra AS binti mtukufu wa Bwana Mtume SAW na …
Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bi Zaynab al-Kubra AS binti ya Imam Ali bin Abi Talib AS; mwanamke …
Jumatatu, 14 Novemba 2011 10:12

Sikukuu ya Ghadir

Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Kwanza kabisa na kabla ya kukuleteeni kipindi hiki maalumu, tunatoa mkono wa baraka na fanaka kwa Waislamu wote kwa mnasaba wa sikukuu hii …
Tarehe 3 Shaaban ni siku ambayo mji wa Madina ulishuhudia kuzaliwa mtoto mwingine katika nyumba ya Bibi Fatimatuz Zahra SA binti mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Huyo alikuwa ni …
Page 6 of 7

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …