Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Minasaba
      Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbusha siku ya kufunga ndoa Bwana Mtume SAW na Bibi Khadija binti …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa al Kadhim AS. Ni matumaini yangu utakuwa nami …
Mwaka 57 baada ya hijra ya Mtume SAW kuelekea Madina, katika siku ya kwanza ya mwezi uliojaa fadhila wa Rajab, ulimwengu ulipambazuka kwa kuzaliwa nuru. Katika siku hii yenye baraka, …
Jumatano, 20 Aprili 2016 15:37

Kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Imam Ali AS

      Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii …
Jumamosi, 09 Aprili 2016 10:52

Imam Baqir AS Chimbuko la Elimu na Maarifa

Mwaka 57 baada ya hijra ya Mtume SAW kuelekea Madina, katika siku ya kwanza ya mwezi uliojaa fadhila wa Rajab, ulimwengu ulipambazuka kwa kuzaliwa nuru. Katika siku hii yenye baraka, …
Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Leo tumeamua kukuandalieni makala fupi kuzungumzia tukio la mwaka 1979 la wananchi wa Iran la kutumia haki yao ya kidemokrasia ya kujiamulia wenyewe mfumo wanaoutaka wa …
Tarehe 20 Jamadu Thani Hijiria imepambwa kwa uzawa wa Bibi Fatimat az-Zahra (sa) Binti ya Mtume Mtukufu (saw). Uzawa wa mtukufu huyo lilikuwa tukio muhimu lililotokea katika miaka ya ujumbe …
Tarehe 29 Isfand mwaka 1329 Hijria Shamsia sawia na Machi 20 1950 ni moja ya siku zenye kukumbukwa katika historia ya mapambano ya taifa la Iran na madola ya kibeberu. …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra (a.s) binti mtukufu wa Bwana Mtume (s.a.w) …
Jumapili, 14 Februari 2016 11:38

Kumbukumbu ya Kuzaliwa Bibi Zaynab al Kubra AS

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (a.s) binti ya Imam Ali bin Abi Talib …
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Fatima al Maasuma, Alayha Salam, mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu …
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika makala yetu ya leo ambayo inawajieni kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Imam Hassan Askari AS. Ni matumaini yangu kuwa mtakuwa …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Warakatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Maulidi na kukumbuka tukio la kuzaliwa Mbora wa Walimwengu, Muhammad Mwaminifu …
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Siku ya Ijumaa ya mwezi 17 Mfunguo Sita (Rabiul-Awwal) mwaka 83 Hijria, sawa na mwaka 702 Miladia, alizaliwa mja mbarikiwa, Imam Jaafar As-Sadiq (AS); shakhsia mkubwa …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Nabii Issa bin Maryam AS. Tunatoa mkono wa baraka na …
Assalaam Alaykum. Tuko katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar, siku ambayo ni kumbukumbu  ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha (as) mmoja kati ya …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Mwezi 28 Mfunguo Tano Safar, inasadifiana na siku ya kukumbuka alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW. Siku kama ya leo mwaka wa 11 Hijria, Mtume wa Mwisho …
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Mwezi 28 Mfunguo Tano Safar mwaka wa 50 Hijiria aliuawa shahidi mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mwana wa Bibi Fatimatuz Zahra …
Ijumaa, 02 Oktoba 2015 12:10

Ghadir, njia nyoofu ya saada ya ufanisi

Assalamu Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Baada ya Mtume Mtukufu (saw) kumaliza Hija yake ya mwisho, aliamua kurejea Madina. Akiwa njiani, kulitoa tukio kubwa ambalo lilibadili kabisa historia. Siku hiyo mtukufu huyo …
Nchini Iran wiki tuliyoko inajulikana kama ‘Wiki ya kujihami kutakatifu’ kwa mnasaba wa kukumbuka watati utawala wa Kibaath wa Iraq ulipoanzisha vita dhidi ya Iran mwaka 1980. Wananadharia na wataalamu …
Page 1 of 7

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …