Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Hapa chini tumekuwekeeni kipindi maalumu tulichokuandalieni kwa ajili ya msimu mtukufu wa Hija wa mwaka huu wa 1436 Hijria.
Ni kipindi kilichokusanya maoni tofauti kuhusiana na kadhia mbalimbali, ikiwemo ajali ya winchi iliyotokea siku ya Ijumaa ya Septemba 11, 2015 katika msikiti mtakatifu wa Makka na kuua zaidi ya mahujaji 107 na kujeruhi makumi ya wengine.
Ingia hapa chini kusikiliza maoni hayo