Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Hija
Jumatano, 23 Septemba 2015 12:30

Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu 1436 Hijria

Bismillahir Rahmanir Rahim Na hamdu na shukrani zote zinamstahikia Allah, Mola Mlezi wa viumbe wote na rehema na amani ziwe juu ya Bwana wa viumbe wote Muhammad na Aali zake …
Jumanne, 22 Septemba 2015 15:52

Dondoo za Hija (10)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Leo tarehe 10 Dhulhija ni sikukuu ya Idul Adh'ha. Adil Adh'ha ni sikukuu ya kujikomboa mwanadamu na sikukuu ya imani na kumpenda haswa Mwenyezi Mungu SW. …
Jumanne, 22 Septemba 2015 15:51

Dondoo za Hija (9)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Kandokando ya Al Kaaba kuna kijiduara kinachoitwa Hijr Ismail ambako ndipo lilipo kaburi la Hajar mkee wa Nabii Ibrahim al Khalil, Nabii Ismail na Mitume wengine …
Jumanne, 22 Septemba 2015 15:34

Maoni ya wanabaraza kuhusu Hija 1436

Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Hapa chini tumekuwekeeni kipindi maalumu tulichokuandalieni kwa ajili ya msimu mtukufu wa Hija wa mwaka huu wa 1436 Hijria. Ni kipindi kilichokusanya maoni tofauti kuhusiana na …
Jumanne, 22 Septemba 2015 15:22

Dondoo za Hija (8)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Katibuni katika mfululizo wa vipindi vyetu vifupi vya Dondoo za Hija, leo tutaangazia moja ya mawaqif za Hija.Mwenye kuhiji anapaswa kusimama maeneo matatu. Anasimama Arafat, Mashaar …
Jumatatu, 21 Septemba 2015 18:47

Dondoo za Hija (7)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Leo ni tarehe 7 Dhulhijjah. Katika utamaduni wa Uislamu wapenzi wasikilizaji, kiini cha ibada kiroho ni kumuelekea Mwenyezi Mungu, na kiini chake cha siasa ni kuwajali …
Jumapili, 20 Septemba 2015 12:27

Safari ya kuelekea kwenye ardhi ya wahyi

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tumo katika siku za mwanzoni mwa mwezi mtukufu wa Mfunguo Tatu Dhulhija. Hiki ni kipindi cha ibada ya Hija ambamo miji miwili mitakatifu ya Makka na …
Jumapili, 20 Septemba 2015 11:04

Dondoo za Hija (6)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika sehemu hii ya 6 ya mfululizo huu wa makala fupifupi za Dondoo za Hija.Hija ni ibada yenye siri na maajabu mengi. …
Jumamosi, 19 Septemba 2015 17:28

Dondoo za Hija (5)

Hambambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio makala hizi fupifupi zinazozungumzia fadhila za ibada ya hija, ambazo zinakujieni kwa mnasaba wa siku hizi adhimu za ibada hiyo ambayo ni moja …
Jumamosi, 19 Septemba 2015 17:15

Dondoo za Hija (4)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki kifupi kuhusu Hija. Leo tutaangazia Hija iliyokubaliwa au Haj maqbul. Haj Maqbul ni Hija ambayo hujidhihirisha pale mwanadamu anapojikomboa kutoka kujisifu …
Alkhamisi, 17 Septemba 2015 19:52

Dondoo za Hija (3)

Assalaamu alaykumu wapenzi wasikilizaji. Katika kipindi cha miaka kumi ya kuwa kwake mjini Madina, Mtume SAW hakuwa amehiji hadi pale iliposhuka aya ya 27 ya Surat al-Haj inayosema:"Na watangazie watu …
Jumanne, 15 Septemba 2015 17:29

Dondoo za Hija (2)

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Wapenzi wasikilizaji Qur'ani tukufu imeiarifisha al Kaaba kuwa ndiyo nyumba ya kwanza ya Tauhidi na kumpwekesha Mwenyezi Mungu na ya kale zaidi ya …
Jumanne, 15 Septemba 2015 17:08

Dondoo za Hija (1)

Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Katika siku hizi wimbi bora zaidi ni lile ya sauti za Labbaika zinazotolewa na mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu, al Kaaba wakijibu wito wa Nabii …
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu
Hamdu zote ni za Allah, Mola Mlezi wa viumbe pia. Na rehema za Allah na salamu Zake zimfikie Mtume Mtukufu Mwaminifu na Aali zake watoharifu, wateule na masahaba wake wema. …
Alkhamisi, 25 Oktoba 2012 11:25

Idul Haji na Hija Kuu

Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Haji. Ni matumaini yetu kuwa mtaendelea kuwa nasi …
Jumatano, 24 Oktoba 2012 11:06

Pamoja na Mahujaji 3 (1433)

Bismillahir Rahmanir Rahim Hija ni ibada ni miongoni mwa ibada zenye adhama kubwa na zenye athari mno  na kwa mtazamo wa Kiirfani ina siri na hekima zisizo na kifani. Majimui …
Jumapili, 21 Oktoba 2012 11:43

Pamoja na Mahujaji-2 (1433)

Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuhu Katika siku hizi tunashuhudia taswira ya mjumuiko wa wanaadamu katika ardhi takatifu za Makka na Madina ambapo nguvu ya Uislamu inadhihirika wazi. Waliofunga safari kuelekea katika …
Jumamosi, 20 Oktoba 2012 12:55

Pamoja na Mahujaji 1 (1433)

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuwadia msimu wa ibada ya Hija. Msimu wa Hija umewadia tena. Kwa mara nyingine tena imewadia …
بسم‌الله‌الرحمن‌الرحیم الحمدلله رب العالمین و صلوات الله و تحیاته علی سیدالانام محمدٍ المصطفی و آله الطیبین و صحبه المنتجبین Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu Hamdu zote …
Page 1 of 2

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …