Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Mfalme Salman bin Abdul aziz wa Saudi Arabia amepuuza na kudharau maonyo yanayotolewa kimataifa yakiwemo ya asasi za kutetea haki za binadamu na kuamua kuendeleza jinai zake dhidi ya wananchi …
Viongozi wa nchi kadhaa duniani wametahadharisha kuhusu kuzidi kuongezeka tishio la ugaidi wa kinyuklia.
Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano kulalamikia kuendelea kuwekwa korokoroni kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza kuwa, anaheshimu uamuzi wa Mahakama ya Kati ya nchi hiyo dhidi yake.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amedai kupitia mahojiano aliyofanyiwa na televisheni ya Saudi Arabia ya al Arabia kuwa eti viongozi wa Iran wanachochea machafuko nchini mwake.
Ijumaa, 01 Aprili 2016 21:24

Matukio ya Yemen

Jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia zimeendelea nchini Yemen kufuatia ndege za kivita za Saudia kushambulia maeneo ya makazi ya raia kusini mwa nchi hiyo.
Katika kuendeleza siasa zake za kuunga mkono sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa mara nyengine tena serikali ya Marekani imechukua msimamo usio wa kiutu na dhidi …
Matamshi ya mgombea anayeoongoza wa chama cha Republican katika mashindano ya kuwania kiti cha rais wa Marekani kuhusiana na uavyaji mimba yamezua mjadala na utata nchini humo. Akizungumza hivi karibuni …
Akizungumzo hapo jana Jumatano ambayo ni siku ya maadhimisho ya kuzaliwa Bibi Fatima (as), binti ya Mtume Mtukufu (saw), mbele ya hadhara ya wasomaji wa tungo za kuwasifu Ahlul Beit …
Rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati aliapishwa rasmi jana katika sherehe zilizofanyika katika uwanja mkuu wa michezo mjini Bangui.
Rais Barack Obama wa Marekani ametahadharisha kuhusiana na matokeo mabaya ya kuenea utumiaji wa madawa ya kulevya katika nchi hiyo.
Mji mkuu wa Burundi Bujumbura ni mwenyeji wa mkutano wa ukanda wa nchi za Afrika Mashariki ambao lengo lake ni kupanua ushirikiano na ustawi wa kijamii katika nchi hizo.
Kuendelea kushuka kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kumeendelea kuathiri uchumi wa nchi zinazozalisha nishati hiyo muhimu. Inakadiriwa kuwa, bei ya mafuta katika mwaka huu wa 2016 itaendelea …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano ya kesho tarehe 30 Machi anatarajiwa kuelea Vienna Austria kujibu mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Heinz Fischer.
Umoja wa Mataifa umesisitiza juu ya ushiriki zaidi wa wanawake barani Afrika katika masuala ya kijamii na kisiasa kwa shabaha ya kuleta amani na uthabiti barani humo.
Huku kukiwa na uwezekano mkubwa wa kupata ushindi Donald Trump katika uteuzi wa mgombea wa chama cha Republican kuwania urais Marekani, kumeibuka wasi wasi kuhusu taathira hasi ya mwanasiasa huyo …
Mafanikio ya kistratijia ya Jeshi la Syria katika kuukomboa kikamilifu mji wa kihistoria wa Tadmur au Palmyra ni jambo ambalo limezidi kumuimarisha Rais Bashar al Assad mbali na kuwa ni …
Gazeti la al Sharqul Ausat linalochapishwa mjini London, Uingereza limechapisha ripoti mbili katika toleo lake jipya likinukuu hukumu iliyotolewa na mahakama moja ya New York nchini Marekani dhidi ya Iran …
Chama tawala Burundi kimemtuhumu Rais wa Rwanda kuwa anatekeleza maangamizi ya kizazi. Paschal Nyabenda mkuu wa chama tawala cha Burundi CNDD-FDD ameashiria maangamizi ya kizazi yaliyojiri Rwanda na kueleza kuwa …
Kwa mara nyingine tena raia wa Misri wamefanya maandamano ya kutaka kuondolewa madarakani Rais Abdel Fattah el-Sisi wa nchi hiyo. Wamisri katika mji wa Minya wamefanya maandamanona kumtaka rais huyo …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …