Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Jumapili, 20 Aprili 2008 21:55

Carter Akutana na Viongozi wa Hamas

Hotuba ya Jimmy Carter Rais Mstaafu wa Marekani katika chuo kikuu cha Cairo imekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa viongozi wa Ikulu ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel. …
Ali Ahmad Jamah, Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia ametaka askari wa Umoja wa Mataifa watumwe nchini humo kwa lengo kulinda amani. Tokea askari wa Ethiopia waivamie Somalia mwaka …
Kikao cha kundi la 5+1 kimeanza mjini Shanghai Uchina katika hali ambayo madola makubwa yanakibiliwa na tatizo kubwa kuhusiana na jinsi ya kuamiliana na faili la nyuklia la Iran. Muda …
Safari ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Benedict XVI nchini Marekani kwa mara nyingine tena imepelekea kashfa ya kimaadili inayohusiana na vitendo vya makasisi wa kanisa Katoliki vya kuwanajisi …
Nouri al-Maliki Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza juu ya azma ya nchi yake ya kupambana kikamilifu na ugaidi. Al-Maliki amesema hayo mbele ya wawakilishi wa kamisheni ya mambo ya nje …
Kikao cha 118 cha Muungano Baina ya Mabunge ya Dunia IPU kilianza tarehe 13 Aprili mjini Cape Town Afrika Kusini ajenda muhimu zikiwa ni kujadili masuala kama vile umasikini, maendeleo …
Manouchehr Muttaki Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Bi. Joyce Banda Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Malawi …
Page 364 of 364

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …