Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameliambia shirika la habari la Russia la Tass News Agency kwamba misimamo mikali na ugaidi vinatishia maeneo ya Mashariki …
Umoja wa Afrika (AU) umemteuwa mpatanishi ili kuanisha jitihada za kufanyika mazungumzo ya kitaifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Alkhamis iliyopita ya tarehe saba mwezi huu April, Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudia akiwa na ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yake, alianza safari rasmi ya …
Rais Omar al-Bashir wa Sudan amesema kwamba hatagombea tena kiti cha rais wa nchi hiyo. Amesema ifakapo mwaka 2020 ataondoka madarakani na kumuachia mtu mwingine fursa ya kuiongoza nchi hiyo.
Ijumaa, 08 Aprili 2016 17:09

Kurefushwa vikwazo dhidi ya Sudan Kusini

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limerefusha vikwazo dhidi ya Sudan Kusini
Ijumaa, 08 Aprili 2016 12:30

Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema siku ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda hapo mwaka 1994 ni siku ya kutoa heshima kwa wahanga wa mauaji hayo na …
Guy-Brice Parfait Kolelas, mgombea wa chama cha upinzani katika Jamhuri ya Kongo ambaye alishika nafasi ya pili katika uchaguzi wa Rais, hatimaye amekiri kushindwa kwenye uchaguzi huo.
Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia yamefanyika leo katika hafla maalumu iliyodhuhuriwa na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran sambamba na kuzinduliwa mafanikio kadhaa …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amekutana na kuhutubia hadhara ya maafisa wa mihimili mitatu ya dola na kusisitiza kuwa ataunga mkono kwa nguvu zote hatua yoyote …
Propaganda chungu nzima zinazoendelezwa na Marekani dhidi ya Iran kwa lengo la kuichafulia jina na kuidhihirisha kuwa tishio, zinaonyesha kuwa licha ya kufikiwa makubaliano kuhusu kadhia ya nyuklia katika fremu …
Bunge la Afrika Kusini limepinga kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
Serikali isiyotambuliwa kimataifa ya Tripoli nchini Libya imetangaza kuwa imekabidhi madaraka kwa serikali ya umoja wa kitaifa inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa.
Rais Francois Hollande wa Ufaransa amesisitiza kuwa, Ufaransa na Afrika zinapaswa kuwa na ushirikiano na uratibu zaidi katika kupambana na ugaidi.
Muda wa hali ya hatari umeongezwa kwa siku kumi nyingine nchini Mali kwa amri ya Rais wa nchi hiyo
Hali ya mji wa Brazzaville nchini Congo imekumbwa na machafuko. Habari zinaeleza kuwa, watu wenye silaha wameshambulia ofisi ya kamishna wa polisi na jengo la meya wa mji huo na …
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesisitizia umuhimu wa kudhaminiwa usalama wa Ghuba ya Guinea.
Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh la mjini Sirte, kaskazini mwa Libya, limetishia kuishambulia serikali ya umoja wa kitaifa nchini humo. Abu Abdullah al-Misri, kiongozi wa genge hilo la …
Jumatatu, 04 Aprili 2016 12:35

Kukombolewa mji wa Qaryatain nchini Syria

Habari kutoka nchini Syria zinasema kuwa, wanamgambo wa kundi la kigaidi la Daesh wanakimbia ovyo hivi sasa baada ya jeshi la Syria kukomboa mji mwingine muhimu uliokuwa umetekwa na kundi …
Iwapo tuhuma mpya za ukandamizaji wa kijinsia zilizotolewa dhidi ya askari wa Ufaransa barani Afrika zitathibitishwa, basi sura ya mkoloni huyo mkongwe barani humo itazidi kuchafuka.
Spika wa bunge la Libya amesema kuwa, kiu na kilio kikuu cha wananchi wa nchi hiyo ni kuundwa jeshi lenye nguvu la taifa. Aguila Saleh Issa aliyasema hayo jana Jumamosi …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …