Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Wananchi wa Misri wametaka kung'olewa madarakani serikali ya al Sisi katika kulalamikia hatua ya serikali hiyo ya kuipatia Saudia visiwa visiwa vya Tiran na Sanafir vilivyoko katika bahari Nyekundu.
Wapinzani wa serikali ya Afrika Kusini wameandamana wakionesha upinzani wao kwa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
Wananchi wa Zimbabwe wamefanya maandamano kulalamikia siasa za Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo.
Ijumaa, 15 Aprili 2016 18:34

Ziara ya mabalozi wa Ulaya nchini Libya

Mabalozi wa nchi za Ufaransa, Uhispania na Uingereza wameelekea nchini Libya kama njia ya kutangaza uungaji mkono wao kwa serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.
Baada ya kupita miaka 10, eneo la Ukanda wa Gaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu lingali limewekewa mzingiro na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel; na kutokana na kuendelea kukumbwa …
Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesisitiza udharura wa kuzidishwa ushirikiano unaohitajika kati ya nchi za eneo la magharibi mwa Afrika kwa ajili ya kupambana na kundi la Boko …
Kikao cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC wanakutana leo Alkhamisi na kesho Ijumaa katika mji wa Istanbul nchini Uturuki.
Vituo vya kura ya maoni ya kuainisha hali ya baadaye ya Darfur huko magharibi mwa Sudan vilifungwa jana katika eneo hilo lenye machafuko ya muda mrefu.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji ya wanachama wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria.
Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi, ambaye yuko safarini hapa nchini jana alionana na kufanya mazungumzo na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Siku chache zikiwa zimepita tangu kutangazwa kusimamishwa vita nchini Yemen, msemaji wa harakati Ansarullah ya nchi hiyo amesema kuwa, iwapo makubaliano hayo hayataheshimiwa, basi fursa za kufanikiswa mazungumzo ya kutatua …
Wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema kuwa, wanaunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kufanyike uchaguzi wa nchi hiyo katika muda …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, madola yanayodai kupambana na ugaidi hususan Marekani hayana nia ya kweli katika uwanja huo.
Kwa mujibu wa takwimu za utawala wa Kizayuni wa Israel kuna watoto 437 Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala huo.
Jumanne, 12 Aprili 2016 08:33

Marekani, nchi ambayo daima iko vitani

Sera za kijeshi na za kupenda vita za Marekani zinakosolewa kote duniani na hivi sasa hata wakuu wa nchi hiyo wameanza kukosoa sera hizo.
Rais Barack Obama wa Marekani amesema: "Kosa baya zaidi katika urais wangu ni kukosa mpango wowote kwa ajili ya zama za baada ya kumuangusha Muammar Gaddafi nchini Libya."
Maafisa wa utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia wameendela kuzuia huduma ya tiba kwa wafungwa wa kisaisa wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo.
Licha ya kutiwa saini mapatano ya usitishaji vita nchini Yemen kati ya Saudia na Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo ya Answarullah, lakini bado mashambulizi ya Saudia na waitifaki wake …
Jumapili, 10 Aprili 2016 15:31

Uchaguzi wa rais nchini Chad

Jumapili ya leo tarehe 10 April raia wa Chad wamefika kwenye vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua rais mpya wa nchi yao. Rais Idriss Deby wa nchi hiyo …
Naibu Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la NATO, Alexander Vershbow ametaka kustawishwa ushrikiano kati ya shirika hilo la kijeshi na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC pamoja …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …