Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeendelea kuchukua hatua zinazokinzana na malengo matukufu ya taifa hilo kwa kuzuia kuwasilishwa muswada wa azimio lililo dhidi ya Israel kwa Baraza la Usalama la …
Mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kufuatiliwa hatima ya wasichana waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram nchini Nigeria.
Burundi imewataka raia wa nchi za kigeni zilizosimamisha ushirikiano na serikali ya Bujumbura, kuondoka nchini humo.
Baada ya wiki kadhaa za mvutano hatimaye, mazungumzo ya kusaka amani kwa ajili ya kumaliza mashambulio ya miezi 13 ya kundi linalojiita Muungano wa Kiarabu linaloongozwa na Saudia Arabia yalianza …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amemtaka mjumbe maalumu wa umoja huo nchini Myanmar atafute njia za kutatua mgogoro wa Waislamu wa kabila la Rohingya na kuwaondolea …
Polisi wa kuzuia fujo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya mkusanyiko mkubwa wa wapinzani waliokuwa wanapinga kuakhirishwa uchaguzi wa rais.
Kufuatia safari za viongozi wa ngazi za juu wa Marekani Mashariki ya Kati na kuanza duru mpya ya siasa za kuituhumu Iran kuwa ni tishio, vyombo vya habari vya Kiarabu …
Gazeti la al-Akhbar linalochapishwa nchini Lebanon liliandika jana Jumatano kwamba sheria ya kuiadhibu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya nchi hiyo Hizbullah iliyopitishwa na Congress ya Marekani na kuidhinishwa na …
Waasi wa eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta kusini mwa Nigeria wametishia kwamba watazidisha mashambulizi yao dhidi mabomba na vituo vya uzalishaji mafuta ghafi ya petroli nchini humo.
Rais Barack Obama wa Marekani anaelekea Saudi Arabia leo kwa lengo la kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo huku lawama na ukosoaji ukiwa umeshtadi kwa uhusiano baina …
Umoja wa Afrika AU umelaani vikali mashambulizi ya watu wenye silaha katika mpaka wa Ethiopia na Sudan Kusini.
Dk Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye yuko mjini New York Marekani kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha ustawi endelevu …
Matukio ya kimataifa yanabainisha wazi kwamba jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina zingali zinazingatiwa kimataifa.
Licha ya kuweko upinzani wa jamii ya kimataifa dhidi ya umiliki wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa eneo la miinuko ya Golan ya Syria unayoikalia kwa mabavu, lakini Waziri …
Jumatatu, 18 Aprili 2016 17:59

Kugonga mwamba kikao cha OPEC mjini Doha

Upinzani wa Saudi Arabia umesababisha kufeli mazungumzo kuhusu mafuta yaliyofanyika Doha Qatar kwa shabaha ya kusimamisha ongezeko la uzalishaji mafuta.
Jumatatu, 18 Aprili 2016 12:39

Hali tete ya Libya

Hali ya mambo nchini Libya inatajwa kuwa ni tete licha ya kuanza kazi serikali ya umoja wa kitaifa iliyoungwa mkono na kukaribishwa na jamii ya kimataifa.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa, ukame na njaa vinatishia maisha ya watu milioni 30 barani Afrika.
Kongamano la usalama barani Afrika lenye kaulimbiu ya 'Afrika katika Ajenda ya Usalama wa Dunia' na lenye lengo la kubadilishana mawazo na kuchunguza changamoto za usalama hususan vitisho vya ugaidi, …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alishiriki katika kikao cha pamoja cha waandishi habari na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki mjini Ankara na kusema kuleta …
Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa upo tayari kuchunguza utekelezaji wa jukumu la kiusalama huko Libya iwapo serikali ya nchi hiyo itataka jambo hilo.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …