Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Kikao cha kila mwaka cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kimeanza leo Jumatatu mjini Geneva, Uswisi na hafla ya ufunguzi imehudhuriwa na Katibu Mkuu wa UN, …
Saudi Arabia inashirikiana kikamilifu na utawala haramu wa Israel katika njama ya kuomuondoa marakani Rais Bashar al-Asad wa Syria pamoja na kuwepo mapatano ya usitishwaji vita nchini humo.
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesema kuwa, uingiliaji wa kigeni ndio chanzo kikuu cha kuibuka mgogoro na tofauti kuhusiana na kadhia ya mrithi wake.
Umoja wa Afrika AU umekubaliana na serikali ya Burundi kwa ajili ya kutumwa waangalizi wa kimataifa wa haki za binaadamu nchini humo.
Uchaguzi wa Rais nchini Niger uliofanyika Jumapili iliyopita na kuwapambanisha wagombea 15 umeingia duru ya pili baada ya kukosekana mshindi katika duru ya kwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amewasilisha ripoti yake kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran baada ya kutekelezwa mpango wa JCPOA.
Jeshi la Nigeria limesema kuwa tayari limeanza operesheni ya kuwaangamiza wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika majimbo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Kongamano la 18 la viongozi wa bara la Afrika kwa ajili ya maji (AFWA) lililofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, mji mkuu wa Kenya, limetaka kuwepo uwekezaji mpya kwa ajili ya …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema anatiwa wasiwasi na kutiwa nguvuni baadhi ya wapinzani wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mbinyo wa kisiasa unaoshuhudiwa …
Matukio yanayojiri nchini Bahrain yanaonyesha kuwa utawala wa Aal Khalifa unazidisha hatua za ukandamizaji dhidi ya wananchi kiasi kwamba kuwatia nguvuni na kuwafungulia kesi wanaharakati wa kisiasa kunazidi kuchukua sura …
Ijumaa, 26 Februari 2016 10:28

Ijumaa ya leo, siku ya uchaguzi Iran

Mamilioni ya wananchi wa Iran tangu mapema leo wameelekea katika vituo vya kupigia kura kuchagua wawakilishi wao katika Bunge la 10 la Jamhuri ya Kiislamu na Baraza la 5 la …
Muda wa kampeni za uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Iran umemalizika mapema leo saa mbili asubuhi tarehe 25 Februari na wananchi wa Iran kesho …
Alkhamisi, 25 Februari 2016 15:16

Wasiwasi kuhusu kuenea umasikini Afrika

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema umasikini ni adui mkubwa wa watu wa eneo la Maziwa Makuu barani Afrika.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International (AI) limetahadharisha juu ya uwezekano wa kutoweka matunda yote ya miaka 70 iliyopita katika uwanja wa haki za binadamu duniani.
Ukiukaji wa haki za binadamu unaendelea kushuhudiwa nchini Bahrain huku mashirika ya kutetea haki za binadamu yakiendelea kupaza sauti zao na kulalamikia mwenendo huo.
Ujumbe wa Umoja wa Afrika unatarajiwa kuelekea nchini Burundi hivi karibuni kwa lengo la kujaribu kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
Jumatano, 24 Februari 2016 10:36

Kuafiki Syria mpango wa usitishaji vita

Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa rasmi na kueleza kwamba serikali ya Damascus inaukubali na itautekeleza mpango wa usitishaji vita uliotangazwa na Marekani na Russia.
Katika kuendeleza siasa zake za kupenda vita katika Mashariki ya Kati, utawala wa Kizayuni wa Israel umo katika maandilizi ya kuanzisha vita vingine dhidi ya Ukanda wa Gaza.
Muungano wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo unaojulikana kwa jina la G7 umetoa wito wa kuweko mazungumzo ya moja kwa moja baina ya makundi na vyama vya kisiasa …
Wimbi jipya la ukosoaji wa siasa zilizofeli na za kijuba za Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu limeanza kushuhudiwa katika eneo zima la Mashariki ya Kati.

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …