Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Wagombea urais wa Jamhuri ya Congo Brazaville wameanza kampenzi zao za uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 20 mwezi huu wa Machi.
Katika hali ambayo Umoja wa Afrika umeimarisha kamati ya usuluhishi nchini Burundi kwa minajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo, bado machafuko yanatajwa kuendelea katika nchi hiyo mwanachama …
Jumapili, 06 Machi 2016 18:57

Kufanyika uchaguzi mkuu nchini Benin

Leo wapigakura nchini Benin waliwasili kwenye masanduku ya kupiga kura kwa ajili ya kumchagua rais mpya wa nchi hiyo. Karibu watu milioni nne na laki nane wametimiza masharti ya kupiga …
Sanjari na upinzani wa baadhi ya nchi za Kiarabu dhidi ya uingiliaji wa kijeshi wa Magharibi katika mgogoro wa Libya, Waziri wa Afya wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika …
Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wamekimbilia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia kujiri machafuko kupita kiasi nchini humo.
Katika ripori yake ya kila mwaka iliyotolewa jana Ijumaa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alikri rasmi kwa mara ya kwanza kwamba askari wa kulinda amani wa umoja huo waliwabaka …
Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelaani taarifa iliyotolewa karibuni na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC ya kuliweka jina la harakati hiyo kwenye orodha ya "mashirika …
Mkuu wa Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Pembe ya Afrika amesema watoto wapatao 60,000 nchini Somalia wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na …
Burundi imeunga mkono kuteuliwa mpatanishi mpya kwa ajili ya kujaribu kutatua mgogoro wa nchi hiyo. Chama tawala cha CNDD-FDD jana Alkhamisi kilisema kuwa kuteuliwa Benjamin William Mkapa, rais wa zamani …
Licha ya Umoja wa Mataifa kuonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Yemen kutokana na mashambulio yanayofanywa na kundi linalojiita muungano wa Waarabu unaoongozwa na Saudia, mashambulio ya anga na …
Kufuatia kuongezeka wasiwasi kuhusu kuimarika ushawishi wa Iran katika eneo baada ya kutiwa saini mapatano ya nyuklia, Israel na Saudia zimezidi kukurubiana ili kukabiliana na hali hiyo.
Sudan Kusini imejiunga na Jumuiya ya Kieneo ya Afrika Mashariki (EAC).
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetupilia mbalia pendekezo la nchi za Magharibi la kutaka kuangaliwa upya hukumu iliyotolewa dhidi ya idadi kadhaa ya wanaharakati wa nchi hiyo.
Tangu alipoingia madarakani Rais Alassane Ouattara wa Côte d’Ivoire amekuwa akikabiliwa na upinzani mkubwa nchini humo. Wafuasi wa utawala uliopita wamekuwa wakitaka kuachiliwa huru rais wa zamani wa nchi hiyo …
Matamshi ya kichochezi yaliyotolewa na kiongozi mmoja wa serikali ya India dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo yamekabiliwa na maandamano makubwa ya Waislamu mjini New Delhi, kulaani hatua kama hizo …
Isaac Herzog mkuu wa chama cha upinzani cha Leba katika utawala wa Kizayuni wa Israel ametaka ukuta unaozunguka vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan …
Kuendelea hatua zisizo za kibinadamu za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina sambamba na kuendelea mzingiro dhidi ya Gaza na vile vile hujuma na uvamizi …
Jumanne, 01 Machi 2016 15:42

Kenya yatangaza hali ya tahadhari

Kenya imetangaza hali ya tahadhari kutokana na wasiwasi wa uwezekano wa kutokea mashambulio ya kigaidi katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Tangu kuanza utekelezwaji wa makubaliano ya usitishaji vita kati ya serikali na wapinzani huko Syria Ijumaa iliyopita, mambo mengi yamejitokeza ambayo yanatujengea taswira ya jinsi hali halisi ilivyo katika nchi …
Kutokana na kushtadi ukatili na unyama wa Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen taasisi mbalimbali za kimataifa na shaksia wakubwa wametaka vikwazo vya silaha vipitishwe mara moja dhidi ya …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …