Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamasi imetangaza kuwa lengo la mashambulizi yaliyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ni kuwafanya …
Jumuiya ya Wafanyakazi ya Niger imeitaka serikali ya nchi hiyo kufanya mazungumzo na kambi ya upinzani kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
Serikali ya umoja wa kitaifa imeanza kazi nchini Libya baada ya kupasishwa na idadi kubwa ya wabunge wa nchi hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid al-Muallem amekosoa matamshi yaliyotolewa na Staffan de Mistura, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria na kusisitiza kuwa serikali …
Kampeni za kura ya maoni kwa ajili ya kuifanyia marekebisho katiba ya Senegal nchi inayopatikana magharibi mwa Afrika zimeanza. Kura hiyo ya maoni imepangwa kufanyika kote nchini Senegal tarehe 20 …
Ahmad Shahid Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amekariri tena ripoti yake ya kila mwaka kuhusu Iran.
Huku hitilafu baina ya makundi ya kisiasa ya Lebanon kuhusu mtu wa kuchukua nafasi ya rais iliyo wazi kwa miaka miwili sana zikiendelea, kamati ya watu tisa ya kutunga sheria …
Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia amesema kuwa kuingia kijeshi madola ya kigeni nchini Libya ni chokochoko za hatari sana.
Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na kanali ya televisheni ya Israel kuhusu uchaguzi ujao wa Bunge la utawala huo yameonesha kuwa, chama tawala cha Likud kinachoongozwa na Benjamin Netanyahu …
Rais wa Marekani amejadidisha hali ya hatari kuhusu Iran. Ikulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa baada ya Barack Obama kuidhinisha tena hali ya hatari ya kitaifa kuhusu Iran, …
Alkhamisi, 10 Machi 2016 15:10

Mgogoro wa kisiasa nchini Niger

Asasi za kiraia nchini Niger zimetoa indhari juu ya uwezekano wa kuibuka mgogoro wa kisiasa katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
Raia watatu wa Yemen wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulizi ya jana Jumatano ya ndege za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia kwenye maeneo ya makazi ya raia katika …
Hivi Karibuni Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilirusha angani kwa mafanikio makombora kadhaa ya balistiki ikiwa ni katika kuyafanyia majaribio.
Waziri wa Habari wa Syria amesema kuwa njama za baadhi ya nchi za Magharibi na za Kiarabu za kuigawa Syria zimegonga mwamba.
Jumuiya na taasisi mbalimbali za kimataifa zimeendelea kulaani uamuzi wa nchi kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudi Arabia wa kuitambua harakati ya Hizbillah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.
Hatua za kibaguzi za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwauwa watoto wa Kipalestina zimefikia upeo hatari na wa kutisha zaidi.
Leo ambayo ni tarehe 8 Machi katika kalenda ya Kimataifa, imepewa jina la "Siku ya Wanawake." Ukweli ni kuwa siku hii ni siku kwa ajili ya kukumbusha hali waliyonayo wanawake …
Katibu Mkuu wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah amejibu madai ya Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lililodai kuwa eti Hizbullah ni kundi la kigaidi, kwa …
Kikao cha tano cha dharura cha wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kilianza Jumatatu ya jana katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta.
Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Jens Stoltenberg amesema kuwa jumuiya hiyo itapanua zaidi operesheni zake katika maji ya karibu na nchi za Ugiriki na Uturuki ili kuzuia …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …