Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Ali Baraka, mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS nchini Lebanon amekosoa utendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa ajili ya Wakimbizi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuelezea mwaka uliopita wa 1394 Hijria Shamsia kuwa ni mwaka uliochanganyika "matamu na machungu", "mipando na mishuko" na kujumuisha "fursa …
Jumapili, 20 Machi 2016 11:26

Kushadidi mgogoro wa kisiasa nchini Brazil

Mahakama Kuu nchini Brazil imebatilisha kuteuliwa Luiz Inácio Lula da Silva, rais wa zamani wa nchi hiyo kushika nafasi serikalini na kusema kuwa, hatua hiyo itakwamisha uchunguzi unaofanywa kuhusu ubadhirifu …
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ripoti kuhusu mgogoro wa maji na hatari ya kuchafuliwa kwa maji kote duniani.
Saudi Arabia na washirika wake wameendelea kufanya jinai na mauaji ya watu wasio na hatia nchini Yemen.
Baada ya kufichuka awamu mpya ya ujasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, mbunge mmoja wa nchi hiyo amesema hatua ya Wazayuni kujipenyeza katika laini za mawasiliano …
Umoja wa Ulaya umejiunga na Umoja wa Mataifa katika kulaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupora ardhi zaidi za Wapalestina.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti nchini Nigeria na kuua watu 25.
Jean-Claude Juncker, Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya alisema jana wakati akihojiwa na gazeti Handelsblatt kwamba, itachukua muda mrefu kuweza Uturuki kutimiza sifa na viwango vya kuwa mwanachama wa …
Donald Trump, anayewania uteuzi wa chama cha Republican kugombea kiti cha urais Marekani ametishia kuwa, iwapo hatateuliwa na chama hicho, basi watu wasubiri ghasia na machafuko kote Marekani.
Alkhamisi, 17 Machi 2016 19:03

Watu wa Yemen, wahanga wa njama za Aal Saud

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen amesema kuwa zinafanyika jitihada za kufikiwa mapatano ya kusitisha vita nchini humo licha ya Saudi Arabia kuzidisha mashambulizi dhidi ya Waislamu wa …
Balozi wa Uingereza nchini Afghanistan, Dominic Jermey amesema kuwa nchi yake ina uhusiano wa karibu na kundi la kigaidi la Taliban na kwamba ikiwa serikali ya Kabul itahitajia, basi nchi …
Katika hali ambayo wananchi wa Pakistan walikuwa wakisubiria kuona vyombo vya mahakama vya nchi hiyo vikiwachukulia hatua kali wahusika wa vitendo vya kigaidi, ndio kwanza vimemuachilia huru kiongozi wa kundi …
Kiongozi mmoja wa serikali ya Zimbabwe, ameelezea ongezeko kubwa la wahitaji wa misaada ya chakula kutokana na kushadidi ukame nchini humo.
Palestina imekuwa mwanachama rasmi wa Mahakama ya Kudumu ya Usuluhishi (PCA) yenye makao yake mjini The Hague, Uholanzi.
Rais Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kwa kuwauzulu na kuwabadilishia nyadhifa baadhi ya mawaziri.
Rais Vladimir Putin wa Russia jana alitoa amri ya kuanza kuondoka vikosi vya jeshi la nchi hiyo vilivyoko nchini Syria.
Hatimaye Waziri wa Sheria wa Misri, Ahmed al-Zand ambaye siku chache zilizopita pia aliibua matamshi ya utata, amelazimika kujiuzulu mara hii ikiwa ni baada ya kutoa matamshi ya kufuru na …
Rais Macky Sall wa Senegal ametoa wito wa kuanzishw amapambano dhidi ya miamala haramu ya kifedha barani Afrika.
Baada ya kuzingirwa eneo la kiistratejia la Hit katika mkoa wa al-Anbar magharibi mwa Iraq, Spika wa Bunge la nchi hiyo amesema kuwa, mkoa huo utakombolewa wote kutoka mikononi mwa …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …