Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Uchambuzi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema kuwa, hatua za Marekani kuhusu mpango wa makombora ya nchi hii, zinatakiwa kujibiwa haraka na uwezo wake wa makombora.
Jumamosi ya jana tarehe 26 Machi ilisadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Saudi Arabia ilipochukua uamuzi wa kuivamia na kuishambulia kijeshi nchi ya Yemen.
Takwimu na ripoti zilizotolewa hivi karibuni kuhusu ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina zinaonesha kutokea kwa maafa ya kutisha yaliyofanywa na Israel katika duru …
Mawaziri wa Ulinzi na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi 27 za Kiarabu na Kiafrika jana Ijumaa walifikia makubaliano katika mkutano uliofanyika Sharam-Sheikh nchini Misri kuhusu kuimarisha ushirikiano baina …
Jumamosi, 26 Machi 2016 12:49

Kuendelea mvutano wa kisiasa nchini Libya

Licha ya kuripotiwa habari za kuhamishiwa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya katika mji mkuu wa Libya Tripoli katika kipindi cha chini ya wiki moja, Waziri Mkuu wa serikali …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amesisitizia ulazima wa kuongezwa misaada ya kimataifa kwa jeshi la Lebanon.
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa uamuzi wa Umoja wa Mataifa wa kumuongezea muda wa kuendelea na kazi ripota maalumu wa umoja huo anayehusika na masuala ya haki za binadamu …
Komandi Kuu ya opereseheni za pamoja za kijeshi ya mjini Baghdad imetangaza kuwa, hatua za awali za kuukomboa mkoa wa Nainawa, kaskazini mwa Iraq ilianza siku ya Jumatano usiku kwa …
Baada ya Shirika la Simu za Apple kukataa kushirikiana na Idara ya Polisi ya Upelelezi Marekani FBI katika kuifungua simu aina ya iPhone iliyotumiwa na mtu anayedaiwa kutekeleza mauaji San …
Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen ametangaza kuwa, pande zinazopigana nchini humo zimefikia makubaliano ya kusitisha vita tarehe 10 Aprili.
Baada ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kuuelezea uwepo wa vikosi vya Morocco katika eneo la Sahara Magharibi kuwa ni "ukaliaji wa mabavu", mivutano na mikwaruzano katika …
Alkhamisi, 24 Machi 2016 06:42

Hamas yatunisha misuli yake Ukanda wa Gaza

Wapiganaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wamefanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Ukanda wa Gaza kwa shabaha ya kuzidisha utayarifu wao kwa ajili ya kukabiliana …
Mfalme Salman bin Abdul Aziz wa Saudi Arabia amefanya mazungumzo na ujumbe wa Congresi ya Marekani ambapo pande hizo mbili zimejadili hali ya Mashariki ya Kati husuan Yemen na Syria.
Jumatano, 23 Machi 2016 12:38

Mashambulizi ya kigaidi ya Brussels

Mashambulizi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels yameendelea kuakisiwa na kulaaniwa sana katika vyombo vya habari na duru za kimataifa.
Jumatano, 23 Machi 2016 08:14

Matukio ya kisiasa na kiusalama ya Yemen

Muhammad Abdus Salam, msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wamefikia maafikiano na Saudia kuhusu kuanza hatua za kujenga hali kuaminiana kwa shabaha ya kukomesha kikamilifu vita na …
Makarim Wibisono, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ametoa ripoti yake ya mwisho kwa Baraza la Usalama la umoja …
Huku wiki moja ikiwa imepita katika muda uliowekwa wa siku 10 kwa ajili ya mazungumzo ya amani ya Syria yanayofanyika mjini Geneva, hadi sasa hakuna chochote kilichoibuka kutoka ndani ya …
Hali ya Waislamu wa Myanmar imeripotiwa kuwa inaendelea kutia wasiwasi licha ya ushindi wa chama cha National League for Democracy kinachoongozwa na Aung San Suu Kyi ambao umekomesha utawala wa …
Jumatatu, 21 Machi 2016 20:48

Safari ya Rais wa Marekani nchini Cuba

Rais Barack Obama wa Marekani Jumapili ya jana aliwasili Havana mji mkuu wa Cuba katika safari ya kihistoria.
Magaidi wenye mfungamano na kundi la kitakfiri la Daesh wamezisisha harakati zao katika eneo la Sinai Kaskazini nchini Misri licha ya askari usalama wa nchi hiyo kunzisha operesheni ya kuliandamana …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …