Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Gallery
Mti mmoja katika mkoa wa Hamedan, magharibi mwa Iran umevutia watu wengi baada ya kububujika maji kwa wingi katika kigogo chake. Wapita njia walivutiwa na mti huo, baadhi wamepiga picha, …
Jumamosi, 19 Aprili 2014 11:04

Namna mamba walivyowaonesha umwamba viboko

Jumatano, 16 Aprili 2014 14:55

Mafuriko Dar es Salaam Tanzania

Na Grayson Gideon  Dar es Salaam  Tanzania Baada ya kusimama kwa muda mrefu kwa mawasiliano ya usafiri kati ya jiji la dare s salaam na mikoa mingine sasa yamerejea baada  …
Mkutano wa siku mbili wa maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu wa mjini Tehran. Umeanza Jumanne tarehe 18 Februari, 2014.
Kombora la kisasa la Sayyad 2 lina uwezo mkubwa wa kukabiliana na adui angani. Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyia majaribio mfumo wa makombora ya kujihami angani ujulikanao kama Talash …
Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiye aliyefunga Mashindano ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu, yaliyoanza, Mei 31, 2013 na kumalizika Juni 7, 2013 mjini Tehran …
Mashindano ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu, yaliyoanza, Mei 31, 2013 na kumalizika Juni 7, 2013 mjini Tehran Iran.
Baadhi ya picha za Mashindano ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu Tehran, Iran, Juni 3, 2013.
Ufunguzi wa Mashindano ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu, Tehran Iran, Mei 31, 2013.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akizungumza kwa karibu na maulamaa wa mataifa mbalimbali baada ya hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa Maulamaa na Mwamko wa …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akizungumza kwa karibu na maulamaa wa mataifa mbalimbali baada ya hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa Maulamaa na Mwamko wa …
Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Maulamaa na Mwamko wa Kiislamu. Mkutano huo umefunguliwa kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei.
Jumatatu, 22 Aprili 2013 14:59

Baadhi ya Misikiti maarufu duniani

Baadhi ya Misikiti maarufu katika kona mbalimbali za dunia
Jumatano, 27 Machi 2013 16:44

Bustani ya Ndege Isfahan Iran

Bustani maarufu ya ndege inayovutia watalii wengi mjini Isfahan, Iran.
Jumatano, 27 Machi 2013 16:36

Mji wa Isfahan Iran, nyakati za usiku

Picha zinazoonesha jinsi mji wa Isfahan nchini Iran unavyokuwa nyakati za usiku.
Baadhi ya picha za ufunguzi wa Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM uliofanyika tarehe tarehe 30 na 31 Septemba 2012.
Jumapili, 02 Septemba 2012 14:38

Picha za ufunguzi wa mkutano wa NAM Tehran

Baadhi ya picha za ufunguzi wa Mkutano wa 16 wa Viongozi wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM uliofanyika tarehe tarehe 30 na 31 Septemba 2012.
Jumanne, 07 Agosti 2012 11:00

Mahafali ya Qur'ani Tukufu

Mahafali ya Qur'ani Tukufu ya Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jumatatu, 30 Julai 2012 16:02

Mashindano ya Qur'ani Zanzibar

Katika mwezi mtukufu wa Ramadhani Waislamu kote ulimwenguni hujibidiisha sana katika masuala ya kusoma na kuzingatia Qur'ani Tukufu. Kuna fadhila kubwa za kusoma Qur'ani kila siku hususan katika mwezi huu …
Page 2 of 2

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …