Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 14 Oktoba 2015 21:57

Iran yaonyesha moja ya kambi zake za makombora zilizoko mita 500 chini ya ardhi

Iran yaonyesha moja ya kambi zake za makombora zilizoko mita 500 chini ya ardhi

Kamanda wa kikosi cha anga za juu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kambi za makombora za jeshi hilo zilizoko umbali wa mita 500 chini ya ardhi ziko tayari wakati wote kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya maadui.
Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh, amesema hayo leo wakati alipohojiwa na shirika la habari la IRIB na kuongeza kuwa, makombora ya masafa tofauti ya jeshi hilo yako tayari katika kambi zote kwa ajili ya kufyatuliwa, na yanasubiri amri tu ya Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Ingia hapa kupata habari kamili na video

 

Unaweza kupata pia video hiyo hapa

 

Shuka hapa chini kupata picha

 

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …