Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Ijumaa, 11 Septemba 2015 22:44

Mahujaji 109 wapoteza maisha kwa kuangukiwa na winchi Saudia + Picha

Mahujaji 109 wapoteza maisha kwa kuangukiwa na winchi Saudia + Picha

Mahujaji wasiopungua 109 wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na korongo yaani winchi katika Msikiti Mkuu wa Makka, Saudi Arabia.
Duru za Saudia zimeripoti leo kuwa, upepo mkali na kimbunga kimeliangusha chini winchi hilo. Watu wasiopungua 80 wamejeruhiwa katika ajali hiyo.
Maafisa wa Saudia wamethibitisha habari hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter.
Kuna uwezekano wahanga wa ajali hiyo wakaongezeka.

Hapa chini tumekuwekeeni baadhi ya picha za ajali hiyo mbaya

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …