Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumanne, 12 Mei 2015 09:21

Ulimbwende wa maumbile

Ulimbwende wa maumbile

Ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa kuumba. Ukamilifu wa kibinadamu unatimia pale mwanadamu anapomjua Muumba wake na kumuabudu kwa sura iliyo bora.

Maumbile ni moja ya sehemu za kuonesha qudra na uwezo wa Mwenyezi Mungu. Uislamu umehimiza mno watu kupata ibra kutokana na maumbile wanayoishi.

Hapa chini tumeweka baadhi ya picha zenye mvuto wa aina yake za ndege ambao ni katika viumbe wa Mwenyezi Mungu wanaomsabih Muumba wao ingawa sisi wanadamu hatujui namna zilivyo tasbih zao.

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …