Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 04 Machi 2015 13:38

Picha za matunda na mboga za kuvutia

Picha za matunda na mboga za kuvutia

Picha za kuvutia za baadhi ya matunda na mbogamboga zinazopatikana katika maeneo tofauti duniani

Baadhi ya matunda hayo yanaliwa na baadhi yake hayaliwi na wanadamu. Kila moja ya matunda hayo yana sifa na faida zake za kipekee.

Baadhi ya matunda hayo yana harufu ya kukirihisha lakini ladha yake ni tamu.

Tumeorodhesha baadhi ya matunda hayo hapa chini.

 

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …