Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumapili, 21 Septemba 2014 21:42

Maelfu ya Wakurdi wa Syria wakimbilia Uturuki baada ya kuvamiwa na Daesh

Maelfu ya Wakurdi wa Syria wakimbilia Uturuki baada ya kuvamiwa na Daesh

Zaidi ya Wakurdi elfu 70 wa Syria wamekimbia makazi yao na kukimbilia nchini Uturuki katika siku za hivi karibuni baada ya kundi la kigaidi la Daesh kuvamia na kuteka makumi ya vijiji vya mpakani mwa Syria na Uturuki.

Picha hizi hapa chini zinaonesha baadhi ya wakimbizi hao wakiwa njia kukimbia makazi yao ili kuokoa maisha yao

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …