Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Alkhamisi, 05 Juni 2014 11:13

Mkutano wa Aytullahil Udhma Khamenei na washiriki wa Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran

Mkutano wa Aytullahil Udhma Khamenei na washiriki wa Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Sayyid Ali Khamenei alipoonna na washiriki wa Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran.

Mkutano huo ulifanyika Juni 3, 2014 siku moja baada ya kumalizika mashindano hayo.

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …