Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 28 Mei 2014 13:52

Picha zilizowakasirisha Wakristo

Picha zilizowakasirisha Wakristo

Baadhi ya mitandao ya kijamii ya Wakristo wa madhehebu mbalimbali imeelezea kusikitishwa sana na hatua ya Papa Francis ya kubusu mikono ya watu wanaodaiwa ni katika mabaki ya wahanga wa holocaust (mauaji ya kimbari yanayodaiwa kufanywa na Wanazi wa Kijerumani dhidi ya Mayahudi).

Idadi kubwa ya Wakristo wamepinga kitendo hicho hasa kutokana na Papa Francis kubusu mkono wa Mzayuni ambaye katika itikadi zao Wazayuni, wanawahesabu Wakristo kuwa ni watumwa wa Mayahudi na ndio maana kuna idadi kubwa ya Wakristo wanaokandamizwa na kuuliwa huko Palestina kutokana na siasa hizo za Wazayuni.

Hata hivyo wako baadhi ya Wakristo waliokisifu kitendo hicho wakisema kuwa ni kuonesha namna Papa asivyo na kiburi na anavyoishi maisha ya kawaida kabisa.

Kwa upande wake gazeti la Huffington Post limechapisha picha hizo na kusema kuwa, ni za wakati Papa Francis alipokuwa anabusu mikono wa watu wanaodaiwa kuwa ni mabaki ya wahanga wa Holocaust.

Picha zidi zinapatikana hapa chini.

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …