Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Gallery
Madhimisho ya mamilioni ya watu ya miaka 37 ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, yamefanyika leo kwa kufana mto mjini Tehran na katika zaidi ya miji 1000, mikoa, wilaya na …
Kamanda wa kikosi cha anga za juu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kambi za makombora za jeshi hilo zilizoko umbali wa mita 500 chini ya …
Jumatatu, 28 Septemba 2015 13:50

Maafa ya Mina 1436 Hijria

Maafa ya Mina yalitokea tarehe 24 Septemba, siku ya sikukuu ya Idul Adh'ha kwenye amali ya kumpiga mawe shetani. Mamlaka za Saudi Arabia zinalaumiwa kwa kutosimamia vizuri amali hiyo na …
Mahujaji wasiopungua 109 wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na korongo yaani winchi katika Msikiti Mkuu wa Makka, Saudi Arabia.Duru za Saudia zimeripoti leo kuwa, upepo mkali na kimbunga kimeliangusha chini …
Sala ya Idul Fitr 1436 Hijria iliyosalishwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu. Mamia ya maelfu ya watu wameshiriki kwenye ibada hiyo iliyosaliwa katika eneo la Musalla jijini Tehran. …
Jumatatu, 22 Juni 2015 17:22

Maeneo ya ajabu

Maeneo ambayo ukiyaona hutoamini kuwa yapo katika sayari ya ardhi, utadhani yapo katika sayari na ulimwengu mwengine kabisa.   Ingia hapa chini kuona picha zaidi.
Jumanne, 12 Mei 2015 09:21

Ulimbwende wa maumbile

Ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa kuumba. Ukamilifu wa kibinadamu unatimia pale mwanadamu anapomjua Muumba wake na kumuabudu kwa sura iliyo bora. Maumbile ni moja ya sehemu za kuonesha qudra na …
Kila kazi ina raha na shida zake. Hapa chini tumeorodhesha baadhi ya picha zinazoonesha namna wapiga picha wanavyokuwa katika nyakati nguvu katika baadhi ya wakati pale wanapokuwa kazini.
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha visiwani Zanzibar imesababisha hasara kubwa ya makazi ya watu hasa kisiwani Unguja baada ya kutokea mafuriko. Hizi hapa chini baadhi ya picha za mafuriko hayo.
Picha za baadhi ya nyumba za kuvutia sana za mbao zilizojengwa juu ya miti. Nyumba hizi zinahesabiwa kuwa ni miongoni mwa nyumba nzuri zaidi duniani hususan kutokana na kujengwa juu …
Jumatano, 04 Machi 2015 13:38

Picha za matunda na mboga za kuvutia

Picha za kuvutia za baadhi ya matunda na mbogamboga zinazopatikana katika maeneo tofauti duniani Baadhi ya matunda hayo yanaliwa na baadhi yake hayaliwi na wanadamu. Kila moja ya matunda hayo …
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo imezindua ndege mpya ya kivita katika siku ya nane ya sherehe za al-Fajiri 10 za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini Ndege …
Maisha ya wanyama katika hifadhi ya taifa ya Golestan ya kaskazini mashariki mwa Iran. Ingia hapa chini kupata picha zaidi
Jumatano, 17 Disemba 2014 16:48

Soko la kale nchini Iraq

Soko la kale katika mji wa karbala nchini Iraq. Ingia hapa chini kupata picha zaidi
Maadhi ya waandamanaji wakipita katika mitaa ya jiji la Dar es Salaam Tanzania, kuadhimisha Ashura mwaka 1436 Hijria na kuuawa shahidi Imam Husain AS. Ingia hapa chini kupata picha zaidi …
Zaidi ya Wakurdi elfu 70 wa Syria wamekimbia makazi yao na kukimbilia nchini Uturuki katika siku za hivi karibuni baada ya kundi la kigaidi la Daesh kuvamia na kuteka makumi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Sayyid Ali Khamenei alipoonna na washiriki wa Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran. Mkutano huo ulifanyika Juni 3, 2014 …
Mashidano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo hapa Tehran bada kuendelea kwa muda wa wiki moja. Mashindano hayo yalianza tarehe 27 Rajab katika mkesha wa maadhimisho ya …
Jumatano, 28 Mei 2014 13:52

Picha zilizowakasirisha Wakristo

Baadhi ya mitandao ya kijamii ya Wakristo wa madhehebu mbalimbali imeelezea kusikitishwa sana na hatua ya Papa Francis ya kubusu mikono ya watu wanaodaiwa ni katika mabaki ya wahanga wa …
Mjumuiko wa visiwa 1864 vilivyoko kwenye mpaka wa Canada na Marekani katika mto wa St Lawrence unachora picha nzuri sana ya kimaumbile na kuonesha utukufu wa Allah aliyewaumbia wanadamu dunia …
Page 1 of 2

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …