Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili

Mobile Application

Matangazo ya Radio Tehran Idhaa ya Kiswahili katika simu ya mkononi


Sasa unaweza kuyasikiliza kiurahisi sana matangazo ya Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran kupitia aplikesheni ya simu ya mkononi. Kumbuka kuwa unaweza kuyasikiliza matangazo yetu kwa njia ya moja kwa moja na kupitia hifadhi ya matangazo wakati wowote unaopenda.

Unaweza kuyasikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran kupitia simu ya mkononi bila ya kutoa malipo yoyote isipokuwa gharama zako za kawaida tu za Intaneti.

Ingia katika kitufe cha Google play au App Store ili uweze kupakua aplikesheni ya kukuwezesha kuyasikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran wakati tunapokuwa hewani.

 

Andika maoni


Msimbo salama (Security code)
Upyesha (Refresh)