Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) kimesema kunapanga mikakati ya kumfikisha mahakamani kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters, Julius Malema baada ya kusema kuwa atatumia silaha kukiondoa madarakani chama …
Spika wa Bunge la Syria amesisitiza juu ya udharura wa kuweko ushirikiano wa kweli na wa dhati wa nchi za Ulaya na serikali ya nchi hiyo katika vita dhidi ya …
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayehusika na masuala ya kisheria na ya kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuendelea Iran kupambana na siasa …
Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewauwa wanachama wasiopungua 10 wa kundi la kigaidi la Boko Haram mashariki mwa jimbo la Borno lililoko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa …
Watu wasiopungua 14 wameuawa nchini Ethiopia na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kuzuka mapiganao makali ya kikabila katika eneo moja nchini humo.
Jumatatu, 25 Aprili 2016 11:25

Wapinzani DRC wataka uchaguzi mwaka huu

Wapinzani wa serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametoa wito wa kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka huu kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.
Kwa mujibu wa matokeo ya kura ya maoni ya kuainisha mustakbali wa Darfur, eneo hilo litaendelea kusalia na majimbo yake matano kama ilivyokuwa hapo zamani.
Jumatatu, 25 Aprili 2016 10:32

Ulimwengu wa Michezo, Aprili 25

Wanataekwondo wa Iran wang'ara Ufilipino   Timu ya taifa ya mchezo wa taekwondo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetwaa taji la mashindano ya kieneo ya mchezo huo nchini Ufilipino …
Waziri wa Nishati na Madini nchini Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa, miundombinu ya Tanzania na usalama ni moja ya mambo yaliyowezesha Tanzania kukabidhiwa mradi wa ujenzi wa bomba la …
Jumatatu, 25 Aprili 2016 08:40

Jumatatu, April 25, 2016

leo ni Jumatatu tarehe 17 Rajab 1437 hijria sawa na Aprili 25, 2016. Siku kama ya leo miaka 524 serikali ya mwisho ya Kiislamu barani Ulaya ilisambaratika huko Granada. Baada …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …