Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Askofu Mkuu wa mji wa Lyon nchini Ufaransa amesema kuwa kuteuliwa makasisi wasiofaa ndiyo sababu inayopelekea kuongezeka kwa vitendo vya ufisadi na maudhi ya ngono dhidi ya watoto nchini humo.
Nakisi kubwa na isiyo na kifani ya bajeti ya Saudi Arabia kutokana na uingiliaji kijeshi ufalme huo katia nchi jirani ya Yemen na pia kujiingiza katika masuala ya ndani ya …
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetahadharisha kuhusu hatari ya kushadidi mashambulizi ya makundi ya kigaidi katika Bara Arabu na Iraq.
Jumanne, 26 Aprili 2016 09:02

Jamaa wa Rieck Machar wawasili Juba

Kundi la jamaa wa karibu wa kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini limewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.
Wanachama wa Jumuiya ya Waandishi Habari wamefanya maandamano mjini Cairo wakipinga hatua ya Rais wa Misri, Abdul Fattah al Sisi ya kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vya Tiran na Sanafir …
Jumanne, 26 Aprili 2016 07:05

Wasiwasi wa Daesh kupata silaha za kemikali

Jumuiya ya Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) imetahadharisha kwamba kuna uwezekano kundi la kigaidi la Daesh likawa na silaha za kemikali.
Majenerali wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamesema kuwa, wana wasiwasi wa kuongezeka muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala huo pandikizi.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatima ya kushiriki au kutoshiriki Wairani katika ibada ya Hija mwaka huu itategemea maamuzi ya …
Jumatatu, 25 Aprili 2016 21:04

CORD wapigwa mabomu ya kutoa machozi Kenya

Viongozi wa Muungano wa CORD wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga na wafuasi wao wamekumbwa na zahama kubwa leo baada ya polisi kuwafyatulia mabomu ya kutoa machozi …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kutimia bila ya kuwepo kigezo cha maendeleo cha Kiislamu.
Page 7 of 3688

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …