Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Chama tawala nchini Afrika Kusini kimetoa taarifa na kutangaza kuwa, matamshi ya Julius Malema mmoja wa wapinzani wa Rais Jacob Zuma ni hiana na usaliti dhidi ya maslahi ya kitaifa …
Polisi ya Misri imewatia mbaroni mamia ya waandamanaji wanaopinga hatua ya Rais Abdel Fattah el-Sisi wa nchi hiyo ya kuipatia Saudia visiwa viwili ambavyo ni mali ya nchi hiyo ya …
Kiongozi wa ngazi ya juu wa chama cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda, ambacho ni chama cha upinzani dhidi ya serikali, amesisitizia kufanyika maandamano dhidi ya serikali nchini …
Kiongozi wa waasi Sudan Kusini Riek Machar amewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba na kuapishwa kuwa makamu wa rais wa nchi hiyo.
Hatua ya mahakama moja ya Marekani kutoa hukumu ya kuchukua udhibiti wa dola bilioni mbili za Iran zinazozuiliwa nchini humo ni sawa na uharamia.
Jumanne, 26 Aprili 2016 18:52

Israel inawapa mafunzo askari wa Saudia

Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amefichua kuwa utawala haramu wa Israel unatoa mafunzo ya kijeshi kwa askari wa Saudi Arabia katika mpango wa siri wa uhusiano …
Wapiganaji wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab nchini Somalia wameuawa na askari wa serikali, kaskazini mwa nchi hiyo.
Jumanne ya leo tarehe 26 Aprili, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran ameelekea katika mji mkuu wa Russia Moscow akiuongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi …
Polisi ya Misri amekabiliana vikali na wapinzani wa siasa za serikali ya Rais Abdulfattah as-Sisi wa nchi hiyo huku ikiwarushia gesi ya kutoa machozi.
Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Equitorial Guinea yanaonyesha kuwa Rais Teodoro Obiang Nguema ameshinda kiti hicho kwa kupata asilimia 98 ya kura zilizopigwa.
Page 6 of 3688

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …