Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Russia imeonya kuwa mgogoro unaoendelea kushuhudiwa hivi sasa nchini Syria huenda ukazusha mpasuko mkubwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hatua ya Wamarekani ya kung'ang'ania kuiwekea vikwazo mbalimbali Iran ni njama za kueneza chuki na kulifanya taifa hili liogopwe na kwamba, kivitendo …
Madai yasiyo na msingi kuwa Iran inaingilia mambo ya ndani ya nchi za Ghuba ya Uajemi, ambayo yanachochewa na Saudi Arabia yamebadilika na kuwa stratijia ya pamoja inayofuatiliwa kwa karibu …
Machafuko yanayoendelea kushuhudiwa katika nchi ya Burundi yameitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro mkubwa. Mauaji ya Waziri wa Haki za Binadamu, Martin Nivyabandi na mkewe na yale ya hivi majuzi ya …
Jumatano, 27 Aprili 2016 11:55

Wanamgambo waua na kujeruhi huko Madagascar

Watu wenye silaha wamefanya shambulizi magharibi mwa Madagascar na kuua watu wawili na kujeruhi wengine kadhaa katika eneo hilo.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemwita balozi wa Uswisi mjini Tehran katika kulaani uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama kuu ya Marekani dhidi ya …
Kiongozi wa Kuwait, Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah ametaka kuheshimiwa kikamilifu usitishaji vita nchini Yemen.
Mkuu wa shirika la kimataifa la kutokomeza silaha za kemikali duniani, amesema kuwa Russia hadi sasa imeharibu asilimia 93 ya silaha hizo hatari.
Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekadhibisha tuhuma kwamba ilihusika na ufyatuaji risasi dhidi ya wafuasi wa Moïse Katumbi, gavana wa zamani wa mkoa wa Katanga ambaye pia ni …
Kwa mara nyingine tena Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeonyesha wasi wasi wake mkubwa juu ya hali ya mambo nchini Somalia.
Page 5 of 3688

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …