Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Jumatano, 16 Aprili 2008 22:08

Ahmadinejad: Udhalimu Unapaswa Kukomeshwa

Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna udharura wa kufanywa juhudi za kutokomezwa vitendo vya dhulma duniani. Akizungumza na Bi. Joyce Banda, Waziri wa Mambo …
Jumatano, 16 Aprili 2008 22:06

Machafuko Yaendelea Kushuhudiwa Iraq

Zaidi ya watu 70 wameuawa na wengine 80 kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu la kutegwa garini uliotokea nje ya jengo la mahakama katika mji wa Baquba nchini Iraq. Miili mingi …
Jumatano, 16 Aprili 2008 22:05

Wito wa Amr Mussa Kuhusiana na Darfur

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ameitaka jamii ya kimataifa kuongeza juhudi maradufu ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa jimbo lililokumbwa na machafuko la Darfur magharibi mwa Sudan. Amru …
Serikali ya Somalia imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupeleka haraka kikosi cha kimataifa cha kusimamia amani katika nchi hiyo ya pembe ya Afrika. Ali Ahmad Jama Waziri …
Jumatano, 16 Aprili 2008 22:02

Mungiki Wengine Wauawa na Polisi

Polisi ya Kenya imewauwa kwa kuwapiga risasi watu wengine wawili wafuasi wa kundi la Mungi lililopigwa marufuku nchini humo, baada ya wafuasi wa kundi hilo kujitokeza tena katika maeneo mbalimbali …
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena ametoa wito wa kuharakishwa kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Rais nchini Zimbabwe. Ban Ki-Moon amebainisha kwamba, Tume ya Uchaguzi ya …
Tangu Kuzaliwa Kwake hadi Kuanza Masomo: Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullahil Udhmaa Sayyid Ali Khamenei ni mwana wa marehemu Hujjatul Islam wal Muslimin al-Haj Sayyid Jawad …
Page 3688 of 3688

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …