Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 11:59

USA: Tunapanga kuiwekea vikwazo Sudan Kusini

Serikali ya Marekani imewaonya viongozi wa Sudan Kusini kuwa, watakabiliwa na vikwazo ikiwa hawatoheshimu makubaliano ya amani.
Shirika la upelelezi wa kijeshi nchini Russia limetangaza kuwa, kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, lina wanachama elfu 33 ndani ya Iraq na Syria.
Donald Trump, mgombea wa nafasi ya urais wa chama cha Republican nchini Marekani amezitaja siasa za kigeni za nchi hiyo kuwa ni msiba mkubwa na zilizokosa mwelekeo au mwanga wa …
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 08:49

Alkhamisi 20 Rajab, 1437

Leo ni Akhamisi tarehe 20 Rajab 1437 Hijria sawa na tarehe 28 Aprili 2016. Miaka 24 iliyopita katika siku kama ya leo, makundi ya Mujahidina wa Afghanistan hatimaye yalipata ushindi …
Wapinzani nchini Afrika Kusini wameitisha maandamano ya kumshinikiza Rais Jacob Zuma ajiuzulu.
Kiongozi wa mrengo wa Februari 14 nchini Bahrain amelaani wimbi la ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya wananchi na kusisitiza kuwa mapambano …
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 08:31

Saudia kufungua ubalozi Israel

Saudi Arabia imesema huenda ikafungua ubalozi wake Tel Aviv iwapo utawala haramu wa Israel utakubali kusitisha mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutafuta ufumbuzi wa kudumu kuhusiana na wakimbizi wa mashariki mwa nchi hiyo.
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, wananchi wa Syria tu ndio wanaopaswa kuainisha mustakbali wa nchi yao na kwamba, hakuna mtu kutoka …
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 08:11

Baraza la Usalama UN lapinga ubeberu wa Israel

Katika kuendelea upinzani wa kimataifa dhidi ya hatua za kichokozi na ukaliaji ardhi za nchi nyingine unaofanywa na utawala haramu wa Israel huko katika eneo la Golan nchini Syria, Baraza …
Page 4 of 3688

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …