Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Serikali ya Syria imekosoa vikali hatua ya Marekani kutuma askari zaidi nchini humo na kutaja hatua hiyo kama uvamizi dhidi ya uhuru wa kujitawala wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Rais Hassan Rouhani amesema utawala unaotokana na ridhaa ya wananchi ni moja ya fahari kubwa kwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.
Ripoti mbalimbali kutoka Ukanda wa Gaza huko Palestina zinasema kuwa, hali ya mambo katika eneo hilo imezidisha wasiwasi wa fikra za waliowengi duniani na inaakisi mgogoro mkubwa wa kibinadamu katika …
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 19:47

Mtoto wa miaka miwili amuua mama yake US

Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka miwili amemuua mama yake kwa kumpiga risasi katika mkasa uliotokea kwenye mji wa Milwaukee katika jimbo la Wisconsin nchini Marekani.
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitiza kutekelezwa makubaliano ya nyuklia baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi zinazounda kundi la 5+1 yanayojulikana kama …
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 19:46

Yumkini waliouawa Burundi wamepindukia 1,000

Umoja wa Mataifa umetaarifiwa kuwa idadi ya watu waliouawa katika mgogoro wa kisiasa nchini Burundi yumkini imepindukia watu 1,000.
Mji wa Pazardzhik nchini Bulgaria umepiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu.
Alkhamisi, 28 Aprili 2016 19:45

Mripuko wa kipindupindu umeua watu 45 Zanzibar

Wizara ya Afya ya Zanzibar imesema kwa akali watu 45 wamepoteza maisha kutokana na mripuko wa kipindupindu tangu mwezi uliopita wa Machi hadi sasa.
Mkuu wa kikosi cha Kiafrika cha kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi hilo kuzidisha azma ya kukabiliana na …
Osama Hamdan, Mkuu wa uhusiano wa kimataifa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuna udharura wa kuzidishwa uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa …
Page 3 of 3688

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …