Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry amesema nchi hiyo haitaziwekea vizuizi benki au mashirika ya kigeni yasifanye biashara na mashirika ya Iran ambayo hayakabilwi tena na vikwazo.
Kwa akali watu 12 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi mawili ya bomu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Jumapili, 24 Aprili 2016 07:25

Jumapili, Aprili 24, 2016

Leo ni Jumapili tarehe 16 Rajab mwaka 1437 Hijria inayosadifiana na tarehe 24 April, mwaka 2016 Miladia. Siku kama ya leo miaka 1464 iliyopita kwa mujibu wa mahesabu ya wanahistoria …
Brigedia Jenerali Ahmad Reza Purdastan, kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya jeshi amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapinga kuwepo madola ya kikoloni katika eneo la Mashariki ya Kati.
Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limelitaja jeshi la Nigeria kuwa muhusika wa mauaji ya umati ya mamia ya Waislamu wa nchi hiyo.
Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Muungano wa Kidemokrasia (DA) kimezindua ilani yake ya uchaguzi katika jiji la Johannesburg, kitovu cha uchumi na moja ya maeneo kiliyokusudia kuyanyakua …
Jumuiya za kutetea haki za binadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati zimetoa wito wa kuchukuliwa hatua za kisheria wale wote waliohusika na jinai na vitendo vya utumiaji mabavu nchini …
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, hali ya usalama nchini Somalia bado ni tete.
Rais Hassan Rouhani amesema mchango wa dini una taathira katika kukuza utamaduni wa kutunza na kuhifadhi mazingira katika jamii za wanadamu.
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeishtaki serikali na jeshi la nchi hiyo kwa kuendelea kumshikilia kinyume cha sheria kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Page 10 of 3688

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …