Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya wanawake Bi. Shahindokht Molaverdi amesema, Iran na Afrika Kusini zitashirikiana katika kuinua hadhi ya wanawake.
Kundi la waasi la Lord's Resistance Army la Uganda liliwateka watu 296 katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika robo ya kwanza ya mwaka …
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema watu wa Iran walisimama bega kwa bega na kuwaunga mkono wazalendo wa Afrika Kusini wakati wakipambana na utawala wa makaburu …
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi huru zinapaswa kushirikiana kadiri inavyowezekana licha ya kuweko njama za kila namna za baadhi ya madola ya kibeberu.
Leo kumefanyika maadhimisho ya kukumbuka kushindwa vibaya jeshi la Marekani katika jangwa la Tabas, mashariki mwa Iran.
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameonana na Ban Ki mooon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kujadiliana naye hali ya kisiasa na kiusalama ya nchi …
Duru za usalama nchini Mali zimesema kuwa, watu wenye silaha wamewavamia wanajeshi wa serikali kaskazini mwa nchi hiyo na kuua wanajeshi wawili.
Waziri wa Habari wa Syria ameilaumu Saudi Arabia na baadhi ya waitifaki wake kwa kuvuruga makubaliano ya kusimamisha vita nchini Syria.
Harakati ya Kiislamu ya nchini Nigeria imeifungulia mashitaka serikali na jeshi la nchi hiyo kwa kuendelea kumshikilia kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky kinyume cha sheria.
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempokea rasmi mwenzake wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ikiwa ni safari ya kwanza kwa rais huyo kuitembelea nchi hii tangu baada …

Hadithi ya Uongofu (39)

Ni matarajio yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. …

Ufeministi, Itikadi na Misingi yake (26)

Assalaamu Alaykum wafuatiliaji wa kipindi hiki na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi hiki kinachokosoa itikadi ya ufeministi …

Ulaji wa Lishe Bora katika Kipindi Chote cha Maisha

Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, …

Maua mawili ya Mtume wa Allah (31) Sauti

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Karibuni wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran na wasomaji wa mtandao …