Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Waislamu nchini Uingereza wamekosoa mpango wa serikali ya nchi hiyo wa kupambana na ugaidi na wametangaza kuususia.
Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa idadi ya Wakristo nchini Marekani imeshuka kwa kiasi kikubwa tangu Rais Barack Obama wa nchi hiyo ashike hatamu za uongozi.
Waislamu wa Nigeria wanaendelea kuandamana katika miji kadhaa ya eneo la kaskazini mwa nchi hiyo kulaani mauaji ya mamia ya Waislamu yaliyofanywa na jeshi la nchi hiyo siku kadhaa zilizopita.
Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani, Bi Hillary Clinton anayewania tiketi ya kubeba bendera ya chama cha Democratic katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo amesema kuwa …
Kiongozi mmoja wa chama cha Leba nchini Uingereza ameitaka serikali ya nchi hiyo isitishe kuiuzia silaha Saudi Arabia kutokana na jinai zinazofanywa na serikali ya Riyadh dhidi ya raia wa …
Jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu zimeongezeka mara tatu nchini Marekani, kufuatia mashambulizi ya kigaidi ya jimbo la California nchini humo na Paris nchini Ufaransa.
Shule zote za umma katika jimbo la Los Angeles nchini Marekani zimefungwa mara moja kufuatia kile kinachotajwa kuwa tishio la usalama.
Donald Trump, mwanasiasa wa chama cha Republicans anayetafuta tiketi ya chama hicho kwa ajili ya kuwania urais mwaka ujao nchini Marekani amesema kuwa, baadhi ya waitifaki wa serikali ya Washington …
Jumanne, 15 Disemba 2015 11:54

NBC: Umaarufu wa Obama wazidi kudidimia

Umaarufu wa Rais Barack Obama wa Marekani umeshuka kwa kiasi kikubwa tangu mwaka huu uanze, kutokana na wasi wasi wa wananchi kuwa yumkini nchi hiyo ikakabiliwa na mashambulizi ya kigaidi.
Umoja wa Mataifa umesema takriban watu milioni 2.4 wanakabiliwa na baa la njaa nchini Sudan Kusini. Taarifa ya umoja huo imesema idadi hiyo ni theluthi moja ya idadi jumla ya …
Waislamu nchini Marekani wamemlaani vikali Donald Trump, mwanasiasa mwenye chuki za kidini anayewania kuteuliwa kuwa mbeba bendera wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais nchini humo, kutokana na kushambuliwa …
Jumamosi, 12 Disemba 2015 06:33

Haki za binadamu wapinga matamshi ya Trump

Wanaharakati wa masuala ya kijamii na watetezi wa haki za binadamu wa Marekani wamefanya maandamano mjini Washington wakipinga matamshi yanayotolewa na Donald Trump, anayewania tiketi ya chama cha Republican ya …
Alkhamisi, 10 Disemba 2015 20:13

Donald Trump: Rais Barack Obama ni mpumbavu

Donald Trump, mwanasiasa anayewania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani amemwita Rais Barack Obama wa nchi hiyo kwamba ni mpumbavu.
Alkhamisi, 10 Disemba 2015 11:38

Jarida la Time: Merkel shakhsia wetu wa mwaka

Jarida la Time la nchini Uingereza limemtaja Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kuwa shakhsia maarufu wa gazeti hilo kwa mwaka huu. Jarida hilo limemtaja Abu Bakr al-Baghdadi mkuu wa genge …
Jumatano, 09 Disemba 2015 11:35

Canada yamlaumu Trump kwa kuwachukia Waislamu

Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada amemlaumu vikali Donald Trump, anayewania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani, aliyetaka Waislamu wasiruhusiwe kuingia nchini humo.
Viongozi wa vyama vya siasa nchini Uingereza na katika mji wa Birmingham wamelaani maandamano ya kupinga Uislamu mjini humo. Televisheni ya Press TV imewanukuu viongozi wa vyama vya Leba, Conservative …
Donald Trump, anayewania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani ametaka Waislamu wasiruhusiwe kuingia nchini humo.
Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa amri ya kutayarishwa mara moja kituo cha kisasa cha uongozi wa anga ndani ya ndege ya kistratijia iliypewa jina la Siku ya Kiyama katika …
Jumapili, 06 Disemba 2015 04:35

Hujuma dhidi ya Waislamu zaongezeka Uingereza

Ripoti mpya inaonesha kuwa hujuma na ubaguzi dhidi ya Uislamu vimeshadidi zaidi nchini Uingereza.
Ripoti mbalimbali zinaarifu kuwa, vitisho na machafuko dhidi ya Waislamu nchini Marekani vingali vinaendelea. Shirika la habari la ISNA limelinukuu toleo la Jumamosi hii la gazeti la New York Times …