Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Masanamu yote uchi ya Jumba la Makumbusho la Capitoline katika mji mkuu wa Italia, Roma yamefunikwa wakati wa mkutano wa Rais Hassan Rouhani na Waziri Mkii wa Italia, Matteo Renzi.
Katika hali ambayo karibu wakimbizi elfu mbili wanaingia nchini Ujerumani kila siku, viongozi wa nchi hiyo ya Ulaya wanasema kuwa, wameuamua kufukuza asilimia 10 ya wakimbizi hao.
Jumatano, 20 Januari 2016 20:09

W'wake Marekani waunga mkono wenzao Waislamu

Mamia ya wanawake wa mji wa San Diego katika jimbo la California nchini Marekani wamekusanyika katika Bustani ya Balboa na kutangaza mshikamano wao na wanawake Waislamu wa mji huo.
Jumatatu, 18 Januari 2016 20:22

Kiingereza kuwafukuzisha Wanawake Waislamu UK

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amewataka wanawake wa Kiislamu ambao ni wahamiaji nchini humo kujifunza Kiingereza au watimuliwe.
Serikali ya Ujerumani imeweka mikakati mipya ya kuwafukuza wakimbizi wa Algeria na Morocco ambao wamekataliwa kuwa wakimbizi nchini humo.
Jumapili, 17 Januari 2016 17:56

Wamarekani weusi waandamana kulaani ubaguzi

Wamarekani wenye asili ya Kiafrika nchini Marekani wamefanya maandamano mjini Chicago kulaani ukandamizaji wa polisi dhidi yao. Maandamano hayo yaliyoitishwa na kuhudhuriwa na wanaharakati mbalimbali wa Kimarekani, yamelaani vikali ongezeko …
Jumamosi, 16 Januari 2016 20:04

Wanafunzi Uingereza wanakabiliwa na njaa

Utafiti mpya umeonyesha kuwa wanafunzi wengi nchini Uingereza wanakabiliwa na baa la njaa kwa kuwa wazazi wao wameshindwa kuwalisha.
Takriban wanawake 56 wa Uingereza wakiwemo wasichana mabarobaro walijiunga na kundi la kigaidi na kitafiri la Daesh mwaka uliomalizika wa 2015.
Polisi nchini Marekani wamemtimua mwanamke Mwislamu aliyevalia Hijabu ambaye alikuwa katika mkutano wa kampeni uliokuwa ukihutubiwa na Donald Trump anayewania kupata tiketi ya chama cha Republican kugombea urais nchini humo.
Idadi kubwa ya misikiti nchini Ufaransa imefungua milango yake kwa ajili ya raia wa dini zote nchini humo. Mamia ya misikiti nchini Ufaransa imesema kuwa, watu wa dini zote wanaruhusiwa …
Alkhamisi, 07 Januari 2016 04:34

Madaktari wa Uingereza kuanza mgomo wiki ijayo

Waziri wa Afya wa Uingereza amesema kuwa, mgomo wa madaktari uliopangwa kufanyika wiki ijayo nchini humo utasababisha hasara na madhara makubwa kwa wagonjwa na kukwaza huduma za afya katika nchi …
Jumatano, 06 Januari 2016 19:32

Idadi ya wasio na makazi New York yaongezeka

Mgogoro wa watu wasio na makazi nchini Marekani umeibua hali ya wasiwasi hususan mjini New York kufuatia kuongezeka idadi ya wahanga hao.
Jumatatu, 04 Januari 2016 10:18

'Obama ameshindwa katika vita dhidi ya Daesh'

Mjumbe wa chama cha Republican nchini Marekani amesema Wamarekani wamepoteza imani na sera za Rais wao Barack Obama kuhusiana na vita dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
Kamanda wa Jeshi la Uswisi amesema bara la Ulaya linakaribia kukumbwa na vita vya ndani na amewataka wakaazi wa bara hilo wajizatiti kwa silaha.
Ijumaa, 01 Januari 2016 11:18

Putin: NATO ni tishio kwa usalama wa Russia

Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kuwa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO ni tishio kwa usalama wa taifa lake.
Alkhamisi, 31 Disemba 2015 16:37

Umaskini umewatesa Wamarekani mwaka 2015

Takwimu zilizotolewa zimeonesha kuwa umaskini umeongezeka nchini Marekani katika mwaka unaomalizika leo wa 2015.
Wamarekani wameingia mabarabarani kufanya maandamano ya kulaani hukumu iliyotolewa na mahakama moja katika jimbo la Ohio, ya kumtoa hatiani afisa mzungu wa polisi aliyemuua kijana wa miaka 12 mwenye asili …
Televisheni ya Marekani ya CNN imetangaza kuwa, Rais Barack Obama wa nchi hiyo na wagombea wa urais nchini humo wameshindwa kutoa njia ya wazi ya kukabiliana na kundi la kigaidi …
Waislamu mjini Washington Marekani wamegawa maua kwa watu wa dini na mataifa tofauti ili kuonesha kuwa Uislamu ni dini ya amani na upendo na wakati huo huo kupambana na propaganda …
Taasisi ya al Azhar nchini Misri imelaani kitendo cha kuchomwa moto nakala za kitabu kitakatifu cha Qur'ani katika kisiwa cha Corsica nchini Ufaransa.