Tovuti Hii Imefungwa. Tumehamia Kwenye Parstoday Kiswahili
Spika wa Bunge la Duma la Russia amesema kuwa hakuna nchi yenye haki ya kuainisha hatima ya Syria badala ya Wasyria wenyewe.
Utafiti mpya unaonyesha kuwa mwanya kati ya matajiri na masikini unazidi kupanuka nchini Marekani.
Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya ameonya kuhusu uwezekano wa kuzuka vita baina ya Russia na Uturuki.
Idadi ya wabunge wanaoingiliana kinyume na maumbile nchini Uingereza imeongezeka baada ya wabunge wengine wawili kutangaza hadharani kwamba wanajihusisha na vitendo hivyo vichafu.
Marekani imeongeza biashara yake ya silaha kwa nchi za Afrika, Asia na Mashariki ya Kati na kuwa muuzaji mkubwa zaidi wa silaha duniani.
Jumatatu, 22 Februari 2016 07:08

Wanasiasa wa Marekani ni watumishi wa Israel

Mchambuzi mmoja maarufu wa nchini Marekani amesema kuwa, wanasiasa wa Marekani wapo kwa ajili ya kuutumikia utawala wa Kizayuni wa Israel.
Mchungaji mmoja nchini Uingereza amesema kuwa, mafundisho ya Kiislamu yako karibu na yale aliyoyafunza Yesu yaani Nabii Issa AS, kuliko mafundisho mengi yanayotolewa katika Makanisa ya Magharibi.
Baadhi ya nchi wanachama wa Shirika la Kijeshi la NATO zimetahadharisha kuhusu kushtadi kwa mivutano baina ya Uturuki na Russia na kusisitiza kuwa hazitoingilia endapo vitazuka vita baina ya nchi …
Jumamosi, 20 Februari 2016 11:43

Imam wa jamaa wa msikiti wa Manchester UK auawa

Polisi ya mji wa Manchester nchini Uingereza, imetangaza habari ya kuuawa Sheikh Jalaalud-Din Sa'ab, msomi wa Qur'an na imamu wa zamani wa jamaa katika msikiti wa Jalaaliyyah mjini hapo. Kwa …
Ijumaa, 19 Februari 2016 11:44

Schulz: Ulaya inapuuza mgogoro wa wahajiri

Bunge la Ulaya limekosoa baadhi ya nchi za bara hilo kwa kupuuza mgogoro wa wahajiri na hivyo kufanya suala hilo kuwa gumu zaidi kulitatua.
Ijumaa, 19 Februari 2016 07:10

Papa: Donald Trump si Mkristo

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema kuwa mgombea urasi wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump si Mkristo.
Gazeti la Marekani la The Huffington Post limeripoti kuwa idadi ya wanawake asilia wa Canada waliouawa au kutoweka ni kubwa zaidi ya takwimu zilizokadiriwa hapo awali.
Uchunguzi wa maoni unaonyesha kuwa, Rais wa Ufaransa, Francois Hollande huenda akatetea kiti chake kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
Shirika la Haki za Binadamu la Amnesty International limeikosoa vikali mienendo mibaya ya Marekani dhidi ya wafungwa wa jela ya Guantanamo.
Alkhamisi, 11 Februari 2016 07:06

Assange: Clinton atazidisha ugaidi duniani

Mwasisi wa mtandao unaofichua fedheha nyingi za nchi na viongozi mbalimbali duniani wa WikiLeaks, Julian Assange, amewatahadharisha Wamarekani akiwataka wasimchague Hillary Clinton katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo.
Jumanne, 09 Februari 2016 06:00

Russia yakamata magaidi wa ISIS, yazuia hujuma

Vikosi vya usalama Russia vimewakamata magaidi saba wa kundi la ISIS (Daesh) ambao walikuwa wanapanga kufanya mashambulizi ya kigaidi katika miji kadhaa kote Russia.
Katika kile kinachoonekana ni kuzidi kuingia doa uhusiano wa Marekani na Russia, serikali ya Moscow imewawekea vikwazo vya usafiri maafisa wakuu wa zamani wa serikali ya Washington.
Jumanne, 02 Februari 2016 10:30

Marekani inakiuka haki za binadamu

Marekani imelaumiwa vikali kwa kukiuka haki za binadamu kitaifa na kimataifa.
Ufaransa imesema italitambua taifa huru la Palestina iwapo juhudi za kuutafutia ufumbuzi mzozo kati ya Wapalestina na Wazayuni hazitazaa matunda.
Ijumaa, 29 Januari 2016 07:17

UN: Ulaya iwapokee wakimbizi zaidi

Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa imetoa wito wa kupokewa wakimbizi katika jamii za nchi za Ulaya.